BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
Sisi tumezaliwa wa4
Bahati mbaya wazazi wamefariki na wakatuachiia nyumba 5...!
Wa3 kati yetu kila mtu ana maisha yake ila mmoja yupo kwenye nyumba mojawapo huku zingine tumepangisha
Sasa hapa juzi kati tumepiga dili la kama milioni 5 hivi na wakati tunasubiri dili likae tulikubaliana kuwa hela ikipatikana itaend kukarabati nyumba mojawapo ili iwe kisasa zaidi....wote tulikubaliana
Hela imeingia...na nmetumiwa mimi....yule anayekaa kwenye nyumba mojawapo akasema kila mtu apewe chake kisha kwenye ile nyumba akabidhiwe chumba akarabati mimi nikawa nakataa...ukazuka utata...mpaka na watoto wa kike nao wakasema basi ili kusiwe na ugomvi hela igawanywe tuuu
Nikiangalia ile nyumba ndo walokuwa wanaish wazaz wetu...roho inaniuma...hela nnayo mimi na wote wananielemea...nami nliplan sana tukarabati nyumba....!!
Naomben mawazo yenu...nifanye nini?
1.Niwape kila mtu hela yake
2.Niwape kiasi ili kingne kibaki kwa ajili ya marekebisho ya pamoja
3.Nisiwape nifanye tu marekebisho