Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tumezaliwa wa4
Bahati mbaya wazazi wamefariki na wakatuachiia nyumba 5...!
Wa3 kati yetu kila mtu ana maisha yake ila mmoja yupo kwenye nyumba mojawapo huku zingine tumepangisha
Sasa hapa juzi kati tumepiga dili la kama milioni 5 hivi na wakati tunasubiri dili likae tulikubaliana kuwa hela ikipatikana itaend kukarabati nyumba mojawapo ili iwe kisasa zaidi....wote tulikubaliana
Hela imeingia...na nmetumiwa mimi....yule anayekaa kwenye nyumba mojawapo akasema kila mtu apewe chake kisha kwenye ile nyumba akabidhiwe chumba akarabati mimi nikawa nakataa...ukazuka utata...mpaka na watoto wa kike nao wakasema basi ili kusiwe na ugomvi hela igawanywe tuuu
Nikiangalia ile nyumba ndo walokuwa wanaish wazaz wetu...roho inaniuma...hela nnayo mimi na wote wananielemea...nami nliplan sana tukarabati nyumba....!!
Naomben mawazo yenu...nifanye nini?
1.Niwape kila mtu hela yake
2.Niwape kiasi ili kingne kibaki kwa ajili ya marekebisho ya pamoja
3.Nisiwape nifanye tu marekebisho
Wamsumbue kwani yeye zake, Kila mtu achukue chake undugu uendelee, huyu anayeng'ang'ania kurepea nyumba swali je wakifa hao ndugu zake yuko tayar kuwapa watoto na mke au Mme wa waliokufa au ndo zitabaki zake? Mali ya wazazi waliokufa inagawanywa Kila mtu anaendelea na familia yake, mkuu gawa Mali acha kujifanya unataka kuzitunza SI ZAKO.Waambie unakarabati msibaki na golf lililowashinda NI uharibifu wa rasilimali...au miuze mgawane hela..wakikubali jua huna watu hapo uzeni Ila ujipange kivyako..huna watu hapo watakusumbua...
Mimi naona gawanya hela watu walipe ada ,January hii KakaSisi tumezaliwa wa4
Bahati mbaya wazazi wamefariki na wakatuachiia nyumba 5...!
Wa3 kati yetu kila mtu ana maisha yake ila mmoja yupo kwenye nyumba mojawapo huku zingine tumepangisha
Sasa hapa juzi kati tumepiga dili la kama milioni 5 hivi na wakati tunasubiri dili likae tulikubaliana kuwa hela ikipatikana itaend kukarabati nyumba mojawapo ili iwe kisasa zaidi....wote tulikubaliana
Hela imeingia...na nmetumiwa mimi....yule anayekaa kwenye nyumba mojawapo akasema kila mtu apewe chake kisha kwenye ile nyumba akabidhiwe chumba akarabati mimi nikawa nakataa...ukazuka utata...mpaka na watoto wa kike nao wakasema basi ili kusiwe na ugomvi hela igawanywe tuuu
Nikiangalia ile nyumba ndo walokuwa wanaish wazaz wetu...roho inaniuma...hela nnayo mimi na wote wananielemea...nami nliplan sana tukarabati nyumba....!!
Naomben mawazo yenu...nifanye nini?
1.Niwape kila mtu hela yake
2.Niwape kiasi ili kingne kibaki kwa ajili ya marekebisho ya pamoja
3.Nisiwape nifanye tu marekebisho
eti? huyu atakuwa team mbowe ndo wenye akili za hivi!sasa utamlipua kakukosea nini?
Watakuua haoSisi tumezaliwa wa4