GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Ijumaa kwa wafanyakazi wengi ni siku ya furaha na wengine wakaibatiza furah day (friday). nikimtizama usoni Somboko namwona kama ni mtu mwenye huzuni. binafsi sipendi kuingilia mambo ya watu waswahili wanasema "mambo ya ngoswe mwachie ngoswe" actually mimi mwenyewe sijafanikiwa kumaliza matatizo yangu yote. why nianze kuchungulia ya wenzangu?
Somboko anaanza kudondosha machozi wakati huo earphones zipo masikioni ana onekana amezama kwenye kusikiliza kitu flani.nikajiwazia pengine ni neno la Mahubiri au Nyimbo za Dini.nikakohoa kidogo kumgutusha maana nlikuwa nimesimama mbele yake kama dk 1 hivi toka nimemwambia kuwa kuna Document flan nahitaj toka kwake.muda wote yupo kwenye computer nikidhani ndo ananitafutia. kumbe sivyo.alipoinua macho ndo akawa kama ameshtuka na kuniuliza "bro ulisema unataka nini" hapo nikajua kuna shida. nikavuta kiti nikae.
"bro hii ni hasira baada ya hasara." anaanza kuzungumza huku akinitizama usoni."nimekuwa nikifuga viroboto sasa naanza vuna funza. woga ndo ulioniponza...sumu ya puto ni sindano sasa bro napasua. ni kweli kila mficha maradhi jua kifo kitamuumbua.unamkumbuka yule demu mkali uliniona naye siku ile town... muda mrefu mi namtunza sijapata hata penzi. bro nawaza sijui sina vigezo au labda sijui mchezo.nani anayepeana naye kwangu ananiwekea vikwazo? naamini mimi nina uwezo na pesa nazo mpa ndo kielelezo. nimekuwa maskini wa bahati, tajiri wa mikosi ndo hukumu yangu nafsi.nimeshaliwa pesa nyingi nshatekwa kimapenzi na washenzi.ila leo ndo marafiki na sitowalipa kisasi"
"kiukweli mi nina mapenzi ila mademu ndo wanyonyaji eti kwanza waninyonye ndo waniachie uwazi.waje wanivishe taji...huo ufala mi siuhitaji wa kurubuniwa na mademu ili waninyonye damu. wengine wananitia moyo eti mvumilivu hula mbivu wakati naonekana mpumbavu ninayesubiria mbovu. wakati wananirubuni eti wananipenda bila mali. kumbe wameshaamua kunifanya kaka sukari.siku mbili tatu wananililia hali. demu nliyempenda mambo safi ameshanitosa mara mbili. nifanye nini ili nijibadili nami waniite mkali? labda niwe napiga pamba kali, niwe mtu wa madili ,niwazoee wajanja wa mjini nami niwe tapeli?
labda tu nisubiri.. zali kama la mentari. mademu kweli napata ila ndo hawa hawa waya mkali. wale wa oysterbay hawanitaki eti mi mtu pori. wenzangu msingi penenge wana ng'oa mademu wakali. hapa akanitizama mimi " (gudume gwa mbegu nikajisikia huruma maana jamaa huwa anaona mi nang'oa sana milupo bila kutoboka mfuko)
"mademu huwa wanapenda niwatumie mkwanja ikifika ijumaa niwapeleke viwanja.nikitaka nipate show hawaishi vikwazo.wanasahau nami nyege ninazo zinahitaji kutolewa. ila wao wananitoa pesa tu vingine wananiachia".anasema alijiunga jamiiforums akitegemea huku angekamata watoto wazuri.
akaanza kuandika threads za kuwausia wadada na kuwashauri mambo mazuri wakamjibu "hizo hawazipendi hazivutii na tena zina bore". akaona aanze anzisha threads za mapenzi na mahusiano... anakuta threads zake watu hata hawafungui kusoma acha ku comment. sasa anasikiliza wimbo wa Solo Thang"kilio changu" ndo anajikuta naye ana gundu lake. anasema "nipunguzeni machungu, baasi changieni threads zangu."