Ndugu zangu huku ni kumdhalilisha Rais hii picha yake inafanya nini kwenye mitungi ya gesi?

Ndugu zangu huku ni kumdhalilisha Rais hii picha yake inafanya nini kwenye mitungi ya gesi?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuheshimiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?

4FEC84D9-806B-4583-8536-2E0547DE7AB2.jpeg
 
ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuhemiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?

View attachment 3236639

Sifa kubwa ya chawa ni kukosa akili.

Hapo ndipo uwezo wao wa akili ulipoishia. Kwa upeo wa akili za hawa watu, usishangae siku sijazo wananchi wote mkagawiwa bure toilet papers zenye picha ya Samia, wakiamini kuwa kila atakayeitumia hiyo paper kwa vile atakuwa ameiona picha ya Samia kabla ya kuitumia, na hivyo lazima ampe kura.
 
Sijaipata idhara kwangu ulipomchukua.....

Kwa vile sina papara nami nikakuachia.......

Mola kanivua dhara kanivua......

Mmmmh mmmh mmmh mmmh
 
By the way nashangaa sana kampeni ya the so called "clean cooking" inatumia sana mitungi ya LPG ambayo ni biashara binafsi badala ya gesi ya Natural gas ambayo serikali ni mbia...

Ni sawa sawa serikali ipige kampeni ya matumizo ya majo safi na salama, halafu uone ikigawa maji ya chupa ya Kilimanjaro, Udzungwa, Hill n.k

Back
Top Bottom