Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Watalipa deni 😂😂😂
Hivi yule mwenyekiti wa mavyama ya siasa anazunguziaje hizi kampeni.
Hivi yule mwenyekiti wa mavyama ya siasa anazunguziaje hizi kampeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kisomo gani ndugu mtoa mada? Maana sioni udhalilishaji wowote kwenye picha ya Rais kuwa kwenye mitungj ya gesi.ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuheshimiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?
View attachment 3236639
😂😂😂😂Una kisomo gani ndugu mtoa mada? Maana sioni udhalilishaji wowote kwenye picha ya Rais kuwa kwenye mitungj ya gesi.
Kwa taarifa yako gesi ni nishati safi ya kupikia na nishati safi huokoa mazingira, huboresha afya za wanawake na watoto pia hujenga uchumi.
Rais Samia ndiye champion wa clean energy na agenda hii ameibeba hadi Paris mwaka 2023, Brazil mwaka 2024 na mwaka huu Januari kulikuwa na mkutano wa siku 2 Dar es Salaam ambao uliwaleta viongozi wa dunia kwa agenda ya clean energy.
Hiyo kampeni haiwezi kufanikiwa kindezi na kuendeshwa kwa akili matope kiasi hicho.Una kisomo gani ndugu mtoa mada? Maana sioni udhalilishaji wowote kwenye picha ya Rais kuwa kwenye mitungj ya gesi.
Kwa taarifa yako gesi ni nishati safi ya kupikia na nishati safi huokoa mazingira, huboresha afya za wanawake na watoto pia hujenga uchumi.
Rais Samia ndiye champion wa clean energy na agenda hii ameibeba hadi Paris mwaka 2023, Brazil mwaka 2024 na mwaka huu Januari kulikuwa na mkutano wa siku 2 Dar es Salaam ambao uliwaleta viongozi wa dunia kwa agenda ya clean energy.
Mama yako na nani? Sina mama mwenye akili za hovyo hovyo mimiAlikwambia anadhalilishwa ni nani? Mbona picha yake iko kila sehemu? Hebu tuondokee kichefuchefu huko. Mwache Mama yetu
Nishati safi ndiyo inaenea kasi hivyo wakati wewe bado unalialia JF. Kama kijijini kwako hamjafikiwa shauri yakoHiyo kampeni haiwezi kufanikiwa kindezi na kuendeshwa kwa akili matope kiasi hicho.
Sasa anapotumia machawa wake kugawa hiyo mitungi vipi gesi ikiisha nayo atakuwa anazunguka kuwajazia.?
Mwambieni huyo mama Abdul wenu apunguze bei ya gesi iwe himilivu kwa kila mwananchi uone kama kuna raia atahangaika na mikaa.
Msiwe kama simbilisi wapumbavu nyie.