Nakutania bana,nashangaa maswala ya dharura kiafya break ya kwanza ingekuwa hospitali sio JFKivipi mkuu mbona brother wang ndio kila kitu kwa mkewe, au unamaanisha uchawi wa limbwata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutania bana,nashangaa maswala ya dharura kiafya break ya kwanza ingekuwa hospitali sio JFKivipi mkuu mbona brother wang ndio kila kitu kwa mkewe, au unamaanisha uchawi wa limbwata?
Au kingine kinaitwa colonoscopy hapo kamera inaingizwa kwenye utumbo mkubwa kupitia sehemu ya haja kubwa kucheki shida nini.Asante mkuu kwa ushauri huu, Mungu akubariki.
Nimeuliza bima kwa sababu nimeshangaa ni nini mpaka sasa hizi kinamzuia kwenda kumuona tabibu.Mpaka kakutuma wewe kuja kuuliza hapa.Hahaha swala la bima hilo atajua mwenyewe ila huu ushauri wako wa hospital ni mzuri na nitamfikishia kama ulivyo. Shukran sana mkuu.
Wahi hospital tafadhali Sana, tunakuhitaji sana tulipe Tozo pamoja Hakuna kukimbiaYa ni kweli, hapa umenikumbusha jambo la muhimu sana, inabidi ushauri wa hospital ndo tuufanyie kazi.
Usijali mkuu. Unajua yeye hakulichukulia hili swala serious akijua ni la muda litaisha, sasa anaona linaendelea ndo nikaona nijaribu kuomba ushauri kwa wataalam mbali mbali maana humu kuna mpaka ma dokta, afu ndo tujue tunaanzia wapi.Nakutania bana,nashangaa maswala ya dharura kiafya break ya kwanza ingekuwa hospitali sio JF
Nahisi ni mawenge yake, afu hili swala alilichukulia simple kwamb litasumbua kwa muda kadhaa afu litaisha, sasa anaona linazidi kusogeza masaa na siku.Nimeuliza bima kwa sababu nimeshangaa ni nini mpaka sasa hizi kinamzuia kwenda kumuona tabibu.Mpaka kakutuma wewe kuja kuuliza hapa.
Amen Amen😂😂😂 Shukran, ubarikiwe sana mkuu