Ada ni milion 6800000 kwa hiyo fani...medicine ni 10m...me najiuliza kwa mtz wa kawaida atasoma kweli.??? Ml10 anaitoa wapi...kwann private zisiwe na bei 1.?? Na ndio maana pale kiu wanaosoma health ni wachache eti darasa zima wako 5...wataendelea kukosa student hivyo hivyo...nnachokushauri omba second selection bugando...st john wana famas na bei ni nusu ya hiyo