Ndugu zangu KIU-dar tuhabarishane!

Ndugu zangu KIU-dar tuhabarishane!

Baba Genovivah

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
756
Reaction score
249
m nmepewa B/pharmacy ada n mil 5 pia nmeomba mkopo so nataka kujua je sku ya kuripot natakiwa niwe na sh ngap?
 
Ada ni milion 6800000 kwa hiyo fani...medicine ni 10m...me najiuliza kwa mtz wa kawaida atasoma kweli.??? Ml10 anaitoa wapi...kwann private zisiwe na bei 1.?? Na ndio maana pale kiu wanaosoma health ni wachache eti darasa zima wako 5...wataendelea kukosa student hivyo hivyo...nnachokushauri omba second selection bugando...st john wana famas na bei ni nusu ya hiyo
 
Back
Top Bottom