Ndugu zangu maisha yangu yako hatari

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,495
Reaction score
5,025
Salaam zenu wanaJF ,namshukuru mungu kwa kupata mtoto wa kiume last month ila tatizo ni kwamba hajapata choo tangu jumapili ,tukashauriwa tumpe mafuta ya samaki ,tumempa lakini wapi amekuwa akijampa 2.

Nisaidieni.
 
Mkuu.@Kilangi masanja kwanii hamjampeleka hospitali huyo mtoto? ukifanya mchezo maisha ya mtoto wako yatakuwa kweli yana hatari sio maisha yako wewe.Mpeleke Mtoto wako hospitali acha kufanya mchezo .
 
Constipation may occur if your child is not eating enough high-fiber foods, drinking enough fluids
 
Salaam zenu wanaJF ,namshukuru mungu kwa kupata mtoto wa kiume last month ila tatizo ni kwamba hajapata choo tangu jumapili ,tukashauriwa tumpe mafuta ya samaki ,tumempa lakini wapi amekuwa akijampa 2 .nisaidieni

Pole sana mkuu, ila nijuavyo mimi mtoto anaweza akakosa choo hadi siku 9, hii hutokea katika hatua za awali za ukuaji. Hata hivyo ni vizuri ukaenda hospitali kupata huduma zaidi.
 
Mkuu huyo mtoto mmempeleka hospitali???????

ama unataka ushauri gani??? Hivi kwanza huo ushauri wa mtoto asipewe chochote other than maziwa ya mama kwa miezi sita huko kwako umefika??? Sasa mafuta ya samaki ya nini? Mpeleke kwa specialist wa watoto kama wahitaji kumsave.
 
Mpelekeni bebii hospitali...anaumia jama
 
LEO katoka kupmwa uzto pia dokta nkamweleza kuhusu suala hlo akaxema hakuna shida .hapo awal yeye ndo alipendekeza suala la kumnywesha mtoto hayo mafuta ya samak .kwa mwonekano anaonekana mzma 2
 
LEO katoka kupmwa uzto pia dokta nkamweleza kuhusu suala hlo akaxema hakuna shida .hapo awal yeye ndo alipendekeza suala la kumnywesha mtoto hayo mafuta ya samak .kwa mwonekano anaonekana mzma 2

Mungu ampe afya njema
 
LEO katoka kupmwa uzto pia dokta nkamweleza kuhusu suala hlo akaxema hakuna shida .hapo awal yeye ndo alipendekeza suala la kumnywesha mtoto hayo mafuta ya samak .kwa mwonekano anaonekana mzma 2

Mkuu rajohkeshamaliza, hiyo ni kawaida ila ikianza kufika siku 10 ndio inaanza kuleta hofu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana rafiki atapona sema jitaidi kumpa maji maji na ayo mafuta ya samaki atapatatu choo usijali.
 
Constipation nenda hospital bro then pole sana
 
Pole sana rafiki atapona sema jitaidi kumpa maji maji na ayo mafuta ya samaki atapatatu choo usijali.

Hapana mkuu mtoto wa mwezi mmoja huwezi mpa hayo kuanzia miezi minne sawa, hata hivyo kutopata choo inapofikia kuanzia mwezi mmoja na kuendelea kuna mabadiliko mengi yanatokea katika system nzima ikiwemo digestive system ni hali ya kawaida tu kukaa bila choo baadaye atapata,ila mambo ya kuangalia kama hapati choo-kama tumbo halijaja au kulia sana kutokana na kukosa choo hapo wahi hosp.kama hayo hayapo nyonyesha mtoto wako bila hofu atapata choo tu na baadaye utaona hata mavi yatakwenda yanabadilika ni kawaida.
 
hebu kueni serious na maisha ya mtoto mpaka sasa hamjampeleka hospitali unataka ushauri wa nini?tena sio hospitali tu ilimradi bali mpelekeni kwa daktari wa watoto mtaua mtoto msipokua makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…