Ndugu zangu mnawezaje kunisaidia kuoata hizi Qasida?

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
883
Reaction score
1,157
Madrassa Vingunguti - Yatima Albayana
Nur Fauqa Ya Nour
Kiumbe Acha Ubaya
Kuna Qasida ilikua inatumika kama Soundtrack (Background) ya Kipindi cha Safina , Radio Sauti ya Quran miaka ya 2009-2010 hivi
 
Zamani enzi hizo ninakaa mtongani kulikuwa na kaswida moja inapigwa pale masjid karibu na ghorofa ya Chibango,asubuhi wakati naenda kupanda gari niendel mishe mjini. Isivyo bahati sijui hata jina la ile qaswida asee!!

Mimi siyo muislamu ila ile ilinijengea mazoea na nikatokea kuipenda sana. Jina sasa ndiyo kipengere!!
 
Nipe mtundu tu unavyolia
 
Oya we jamaa...!

Unaomba nini?
Mdundo wa hio Qaswida, yaan hizo Qaswida nilikua nazo nimejaza kwenye external HDD aliniwekea rafiki yangu mmoja hivi ikifika mwezi wa mfungo nagawa bure kwa kila anaehitaji, kuna yule alieimba ramaaadhan raaaamadhan mturuki sijui nilikua nina album zake zote na live performance zake zote ila mimi pia sio muislam
 
Mdundo sijui hata nawekaje hapa,mkuu.
 
Mdundo wa hio Qaswida, yaan hizo Qaswida nilikua nazo nimejaza kwenye external HDD aliniwekea rafiki yangu mmoja hivi ikifika mwezi wa mfungo nagawa bure kwa kila anaehitaji, kuna yule alieimba ramaaadhan raaaamadhan mturuki sijui nilikua nina album zake zote na live performance zake zote ila mimi pia sio muislam
Hata mimi pia sio Mfuasi, ila kuna ala nikizisikiaga... Acha kabisa.

Lugha ya kiarabu sijui ila kuna feeling murua hua naipata nikisikiliza qaswida na nyimbo za kiarabu.
 
Mdundo wa hio Qaswida, yaan hizo Qaswida nilikua nazo nimejaza kwenye external HDD aliniwekea rafiki yangu mmoja hivi ikifika mwezi wa mfungo nagawa bure kwa kila anaehitaji, kuna yule alieimba ramaaadhan raaaamadhan mturuki sijui nilikua nina album zake zote na live performance zake zote ila mimi pia sio muislam
nahitaji mkuu
 
Back
Top Bottom