Nipe mtundu tu unavyoliaZamani enzi hizo ninakaa mtongani kulikuwa na kaswida moja inapigwa pale masjid karibu na ghorofa ya Chibango,asubuhi wakati naenda kupanda gari niendel mishe mjini. Isivyo bahati sijui hata jina la ile qaswida asee!!
Mimi siyo muislamu ila ile ilinijengea mazoea na nikatokea kuipenda sana. Jina sasa ndiyo kipengere!!
Mdundo wa hio Qaswida, yaan hizo Qaswida nilikua nazo nimejaza kwenye external HDD aliniwekea rafiki yangu mmoja hivi ikifika mwezi wa mfungo nagawa bure kwa kila anaehitaji, kuna yule alieimba ramaaadhan raaaamadhan mturuki sijui nilikua nina album zake zote na live performance zake zote ila mimi pia sio muislamOya we jamaa...!
Unaomba nini?
Mdundo sijui hata nawekaje hapa,mkuu.Mdundo wa hio Qaswida, yaan hizo Qaswida nilikua nazo nimejaza kwenye external HDD aliniwekea rafiki yangu mmoja hivi ikifika mwezi wa mfungo nagawa bure kwa kila anaehitaji, kuna yule alieimba ramaaadhan raaaamadhan mturuki sijui nilikua nina album zake zote na live performance zake zote ila mimi pia sio muislam
Basi wewe pitapita wanamopiga vibanda vya CD unaweza ukabahatishaMdundo sijui hata nawekaje hapa,mkuu.
Hata mimi pia sio Mfuasi, ila kuna ala nikizisikiaga... Acha kabisa.Mdundo wa hio Qaswida, yaan hizo Qaswida nilikua nazo nimejaza kwenye external HDD aliniwekea rafiki yangu mmoja hivi ikifika mwezi wa mfungo nagawa bure kwa kila anaehitaji, kuna yule alieimba ramaaadhan raaaamadhan mturuki sijui nilikua nina album zake zote na live performance zake zote ila mimi pia sio muislam
nahitaji mkuuMdundo wa hio Qaswida, yaan hizo Qaswida nilikua nazo nimejaza kwenye external HDD aliniwekea rafiki yangu mmoja hivi ikifika mwezi wa mfungo nagawa bure kwa kila anaehitaji, kuna yule alieimba ramaaadhan raaaamadhan mturuki sijui nilikua nina album zake zote na live performance zake zote ila mimi pia sio muislam