NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
ha ha ha haWhatsapp haina siri tena. Fahamu Jinsi ya kusoma sms kwenye akaunti ya rafiki yako kwa hatua hizi:
1. Search jina la rafiki yako toka contacts zako
2. Nenda kwenye Message
3. Kwenye sehemu ya compose
4. Andika *2345#. Sehemu ya kuandikia ujumbe na kisha andika jina lake
5. Subiri
6. Kisha subiri tena kidogo halafu kaoge ulale maana hakuna ujinga kama huo...!!
ONA UNAVOPENDA KUJUA MAMBO YA WATU
sipendagi kabisa watu wambeya mimi.
[emoji2909]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaWhatsapp haina siri tena. Fahamu Jinsi ya kusoma sms kwenye akaunti ya rafiki yako kwa hatua hizi:
1. Search jina la rafiki yako toka contacts zako
2. Nenda kwenye Message
3. Kwenye sehemu ya compose
4. Andika *2345#. Sehemu ya kuandikia ujumbe na kisha andika jina lake
5. Subiri
6. Kisha subiri tena kidogo halafu kaoge ulale maana hakuna ujinga kama huo...!!
ONA UNAVOPENDA KUJUA MAMBO YA WATU
sipendagi kabisa watu wambeya mimi.
[emoji2909]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi tayari..Whatsapp haina siri tena. Fahamu Jinsi ya kusoma sms kwenye akaunti ya rafiki yako kwa hatua hizi:
1. Search jina la rafiki yako toka contacts zako
2. Nenda kwenye Message
3. Kwenye sehemu ya compose
4. Andika *2345#. Sehemu ya kuandikia ujumbe na kisha andika jina lake
5. Subiri
6. Kisha subiri tena kidogo halafu kaoge ulale maana hakuna ujinga kama huo...!!
ONA UNAVOPENDA KUJUA MAMBO YA WATU
sipendagi kabisa watu wambeya mimi.
[emoji2909]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ni kushindwa kutofautisha majukwaa JFUjinga ni kutumia akili za watu kama waliobuni JF kuandika ujinga