Mkuu huwa unapaka mafuta mazito kichwani?Jaman Nina hitaji dawa za mapunye yana ni sumbua sana maeneo ya kichwani nipewa dawa hospital nitumia yana potea kwa muda kisha yana rudi tena
Acha kupaka mafuta mazito ndo chanzo Cha mapunye kichwaniNdio napaka ndugu