Ndugu zangu nahitaji dawa ya mapunye

Ndugu zangu nahitaji dawa ya mapunye

Imano8

Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
20
Reaction score
20
Jaman Nina hitaji dawa za mapunye yana ni sumbua sana maeneo ya kichwani nipewa dawa hospital nitumia yana potea kwa muda kisha yana rudi tena
 
Kuna aina2 za dawa
1.ya ASILI
2.ya KEMIKALI
YA ASILI
Ute wa alovera fresh .kata tawi la alovera upake sehemu zenye mapunye
YA KEMIKALI
Pakaa mafuta ya taa eneo lenye punye usisugue pakaa TU!!!
 
Jaman Nina hitaji dawa za mapunye yana ni sumbua sana maeneo ya kichwani nipewa dawa hospital nitumia yana potea kwa muda kisha yana rudi tena
Mkuu huwa unapaka mafuta mazito kichwani?
 
Kuna aina2 za dawa
1.ya ASILI
2.ya KEMIKALI
YA ASILI
Ute wa alovera fresh .kata tawi la alovera upake sehemu zenye mapunye
YA KEMIKALI
Pakaa mafuta ya taa eneo lenye punye usisugue pakaa TU!!!
Ok nashukuru ndugu
 
Nenda Pharmacy ununue dosage ya vidonge vya Griseofuvin, vitakusaidia.
 
Back
Top Bottom