Habarini wapendwa poleni na majukum naombeni msaada wa conection ya kazi kwenye makaa ya mawe songea au mbeya.
Mimi ni operator wa excavator mzoefu, nimependekeza kwenye makaa ya mawe kwa sababu ni kazi ya kudumu tofauti na kwenye miradi ya barabara.
Msada wenu tafadhali.