Ndugu zangu naombeni mwenye kufahamu anisaidie

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
270
Reaction score
450
Habari ya muda huu ndugu zangu, ni matumaini yangu kwamba wote mko poa kabisa na mnaendelea na majukumu yenu vizuri.

Ndugu yenu nina shida moja.
Nilipata ka uvimbe chini ya mstari wa korodani sasa nikahisi labda ni jipu maana kanauma sana lakini kila nkiangalia kama ni jipu basi nilitafutie mdomo wake nilitumbue lakini sioni mdomo na uvimbe unaongezeka ingawa sio mkubwa sana ila sasa maumivu yake sio poa mpaka tumbo linauma.

Sasa nilitaka kufahamu tatizo yaweza kuwa ni nini? ni jipu kama ninavohisi au ni kitu kingine?

Naomba mwenye kufahamu tafadhari naamini wapo wataalamu humu🙏🙏
 
Nenda hospitali

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hatuwezi kujua kama ni jipu au la mpaka tulione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…