Ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
Habari ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili Kuna ndugu yetu kuvunjika mbavu ametoka mkoani hatuna mwelekeo kabisa msaada ndugu zangu tafadhali 🙏

Pm kwa mawasiliano tafadhalini nawaomba muongozo mwenye kujua jmn
 
Angalia Imbox Yako Nimekutumia Namba
 
Nashauri umpeleke hospitali moja kwa moja, watamfanyia vipimo na atapata huduma; hii ya kutafuta daktari kabla ya kusogea eneo la tiba, mnaweza kupoteza fedha nyingi.​
 
Back
Top Bottom