Ndugu zangu naombeni tujadili hili.-- Natamani ila roho inasita

Wataalamu wa uwekezaji ni kweli wanatakiwa watusaidie katika hili.
Bado nina mashaka kiasi kwani kuna hii migogoro inayoendelea kati ya Muhongo na Mengi na sijui hii Swala Mengi yumo au hayumo.
La pili ni kwamba nimesoma mahali kuwa hawa swala wanaelekeza nguvu zao katika vitalu vilivyopo Kilosa na Ifakara,hili nalo linatakiwa tulijue kwa kina.
Katika uzinduzi wao nilimuona Mramba,ex minister na hili nalo linanitia shaka kwani huyu si mwenzao na JK na sielewi itakuwa vipi katika uendeshaji.
 
duh inabidi tuangalie kwa kina sana
 

duh inabidi tuangalie kwa kina sana

Deadline inakaribia, umakini gani?? ndo mana nikaleta tujadili

Binafsi naona imekaa kisanii sababu kwa maelezo yao ni kwamba hizo hela watawekeza kwenye kufanya utafiti wa uwepo wa gesi na si kwamba wamegundua kuna gesi na kwamba wanataka waanze uchimbaji.What if utafiti ukaonyesha hakuna gesi? Ina maana hizo hisa zitaleta dividend baadae sana
 

Ndo mana nikshtuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…