Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Astaghafirullah, mke wako amefanya uchafu huo na amekubali alafu umemsamehe! Come on man.
 
Hapa watu naona wana kashfu na kumlaumu jamaa badala ya kutoa ushauri kama mleta mada alivyoomba
Ukiangalia kilamtua anangangania kuwa mtoto sio wa jamaa wakati sio kweli
Kwa maelezo ya mkuu gody alolala na mke wake usiku wa tar. 29>30/8 pia akaja kulala nae tena tar 02/9 then kesho yake mkewe ndio akaenda kwa hawara mkoani.
Sasa rejea maelezo ya Dr. kuwa alale na mkewe kuanzia tar. 1>5/9 sasa yeye alilala nae tar 2/9 so yey ndio wakwanza kulal na mke wake kabla ya huyo hawara
Kwa maantiki hiyo mtoto ni wake na sio wa huyo hawara ..
Kwa maelezo yake yeye hana tatizo lolote kiafya maana alithibitishiwa na madaktar hvyo...
Embu tu simamie kwenye lengo sio kuhangaika kutoa maneno ya kuvunja ndoa ya watu wakati wenyewe wamesha patana..
Asante.
 
Acha kulalamika mimi ndo niliempa mimba naendelea kukuzia dogo afanane na kakaake mwone kwa profile.
 
Ujirani wetu si tulishauzika kitambo?
 
Wanasema tunayoyasoma kwenye mitandao ya kijamii yanareflect maisha yetu halisi kwa asilimia kubwa.
Na hawa ndio wanaume tunakaa pamoja vijiweni tukipena maujanja eti!
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi...

Wakiwa huko vijiweni wajanja kweli kweli..

Wakifika "ndani" wanakunjia "mikia" nyuma kama mbwa muoga.
 
Pole sana kaka, haya mateso tunayo yapata sisi wanaume yataisha lini??
 
Pole sn, ila hiyo !{inauma} umenivunja mbavu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah bro huo ujauzito wa huyo jamaa cha kufanya 2 huyo co mke wa kuish nae maana msenge kukuacha ww lijali na kwenda kwa bwege mwengne so piga chn kama mimba yako itakufata 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…