Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ni Jeep gani na ya mwaka upi. Sije ukavutiwa na Jeep Commando hii ina 5700cc.View attachment 1340778
Nimevutiwa na hii gari kwa muonekano wake ulivyo wa kibabe.
Ningependa mnijuze kuhusu model yake, upatikanaji wa spare zake hapa Tanzania, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa mafundi wake nk.
Naombeni mawazo yenu tafadhali.
Mimi ni mtumiaji mkuu wa Jeep; nina Grand Cherokee na binti yangu nilimnunulia Patriot. Ni magari mazuri sana yenye stability nzuri sana kwenye barabara. Ila baadhi ya sifa zake mbaya ni kama ifuatavyo hapa chini, ikiwa wewe siyo fundi yanaweza kuwa kero hasa yakishafikisha umri kama miaka 6 hivi au kutembea kama km 100,000: (a) Yanakula mafuta sana, (b) Suspension system yake siyo confortable barabarani; ni kama yametengezwa kwa ajili ya matumizi ya offroad zaidi ya barabarani. (c) Yana tabia ya kuchoma oil na kusababisha oil kupunguka haraka sana; usipokuwa makini unaweza siku moja kujikuta unaendesha bila oil. (d) Kukiwa na tatizo, matengezo yake yanaweza kukulazimisha kushusha injini zima kwa vile hayana nafasi ya kutosha mtu kufanya matengezo wakati injini imefungwa, (e) yana tabia ya kumisfire bila sababu yoyote hasa wakati wa baridi.View attachment 1340778
Nimevutiwa na hii gari kwa muonekano wake ulivyo wa kibabe.
Ningependa mnijuze kuhusu model yake, upatikanaji wa spare zake hapa Tanzania, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa mafundi wake nk.
Naombeni mawazo yenu tafadhali.
Mkuu nasikia Jeep nyingi huwa na tatizo la mfumo wa gia.Mimi ni mtumiaji mkuu wa Jeep; nina Grand Cherokee na binti yangu nilimnunulia Patriot. Ni magari mazuri sana yenye stability nzuri sana kwenye barabara. Ila baadhi ya sifa zake mbaya ni kama ifuatavyo hapa chini, ikiwa wewe siyo fundi yanaweza kuwa kero hasa yakishafikisha umri kama miaka 6 hivi au kutembea kama km 100,000: (a) Yanakula mafuta sana, (b) Suspension system yake siyo confortable barabarani; ni kama yametengezwa kwa ajili ya matumizi ya offroad zaidi ya barabarani. (c) Yana tabia ya kuchoma oil na kusababisha oil kupunguka haraka sana; usipokuwa makini unaweza siku moja kujikuta unaendesha bila oil. (d) Kukiwa na tatizo, matengezo yake yanaweza kukulazimisha kushusha injini zima kwa vile hayana nafasi ya kutosha mtu kufanya matengezo wakati injini imefungwa, (e) yana tabia ya kumisfire bila sababu yoyote hasa wakati wa baridi.
Mkuu nasikia Jeep nyingi huwa na tatizo la mfumo wa gia.
Kwenye hizo Jeep Wrangler kuna nyingine nimeona zina lebo ya Sahara edition.Jeep napenda wrangler YJ ila hata TJ ni poa pia,hizi JEEP za miaka ya siku hizi sina mzuka nazo maana zimepoteza mana ya JEEP.
dodge
Kweki mkuu zipo, lkn shida sasa reliability mzee baba.Kwenye hizo Jeep Wrangler kuna nyingine nimeona zina lebo ya Sahara edition.
Kuna jamaa anatumia Jeep Commando 5.7L kila siku na full kiyoyozi muda wote. Hilo dude likipita lazima ugeuke, gari inaunguruma kama simba mbugani.
Hapo mjapani ndio anapotushawishi tununue bidhaa zake na si za mzungu.Kweki mkuu zipo, lkn shida sasa reliability mzee baba.
dodge
Mkuu huyo binti yako ana umri gan?Mimi ni mtumiaji mkuu wa Jeep; nina Grand Cherokee na binti yangu nilimnunulia Patriot. Ni magari mazuri sana yenye stability nzuri sana kwenye barabara. Ila baadhi ya sifa zake mbaya ni kama ifuatavyo hapa chini, ikiwa wewe siyo fundi yanaweza kuwa kero hasa yakishafikisha umri kama miaka 6 hivi au kutembea kama km 100,000: (a) Yanakula mafuta sana, (b) Suspension system yake siyo confortable barabarani; ni kama yametengezwa kwa ajili ya matumizi ya offroad zaidi ya barabarani. (c) Yana tabia ya kuchoma oil na kusababisha oil kupunguka haraka sana; usipokuwa makini unaweza siku moja kujikuta unaendesha bila oil. (d) Kukiwa na tatizo, matengezo yake yanaweza kukulazimisha kushusha injini zima kwa vile hayana nafasi ya kutosha mtu kufanya matengezo wakati injini imefungwa, (e) yana tabia ya kumisfire bila sababu yoyote hasa wakati wa baridi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu huyo binti yako ana umri gan?
Tafadhal sana unaweza kunisaidia namba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh, hapo unataka utie chumvi kwenye engine. Huyo Mshua yupo kwa Trump na mwanae na huko raia kumiliki Mbundu (Bastola) ni kawaida.Mkuu huyo binti yako ana umri gan?
Tafadhal sana unaweza kunisaidia namba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππMkuu huyo binti yako ana umri gan?
Tafadhal sana unaweza kunisaidia namba yake
Sent using Jamii Forums mobile app