Ndugu zangu nijuzeni kuhusu hii jeep

Ndugu zangu nijuzeni kuhusu hii jeep

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
1580374660158.png

Nimevutiwa na hii gari kwa muonekano wake ulivyo wa kibabe.

Ningependa mnijuze kuhusu model yake, upatikanaji wa spare zake hapa Tanzania, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa mafundi wake nk.

Naombeni mawazo yenu tafadhali.
 
View attachment 1340778

Ni Jeep gani na ya mwaka upi. Sije ukavutiwa na Jeep Commando hii ina 5700cc.

Kama ina 4000cc au 3700cc chukua Jeep ni gari ya kiume mkuu, spare zipo na mafundi wapo ulimwengu umebadilika sasa dunia ni kama kijiji huwezi kukosa fundi hapa Tanzania.
 
View attachment 1340778

Nimevutiwa na hii gari kwa muonekano wake ulivyo wa kibabe.

Ningependa mnijuze kuhusu model yake, upatikanaji wa spare zake hapa Tanzania, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa mafundi wake nk.

Naombeni mawazo yenu tafadhali.
Mimi ni mtumiaji mkuu wa Jeep; nina Grand Cherokee na binti yangu nilimnunulia Patriot. Ni magari mazuri sana yenye stability nzuri sana kwenye barabara. Ila baadhi ya sifa zake mbaya ni kama ifuatavyo hapa chini, ikiwa wewe siyo fundi yanaweza kuwa kero hasa yakishafikisha umri kama miaka 6 hivi au kutembea kama km 100,000: (a) Yanakula mafuta sana, (b) Suspension system yake siyo confortable barabarani; ni kama yametengezwa kwa ajili ya matumizi ya offroad zaidi ya barabarani. (c) Yana tabia ya kuchoma oil na kusababisha oil kupunguka haraka sana; usipokuwa makini unaweza siku moja kujikuta unaendesha bila oil. (d) Kukiwa na tatizo, matengezo yake yanaweza kukulazimisha kushusha injini zima kwa vile hayana nafasi ya kutosha mtu kufanya matengezo wakati injini imefungwa, (e) yana tabia ya kumisfire bila sababu yoyote hasa wakati wa baridi.
 
Mkuu nasikia Jeep nyingi huwa na tatizo la mfumo wa gia.
 
Jeep napenda wrangler YJ ila hata TJ ni poa pia,hizi JEEP za miaka ya siku hizi sina mzuka nazo maana zimepoteza mana ya JEEP.

dodge
Kwenye hizo Jeep Wrangler kuna nyingine nimeona zina lebo ya Sahara edition.
 
Mimi ni mtumiaji mkuu wa Jeep; nina Grand Cherokee na binti yangu nilimnunulia Patriot. Ni magari mazuri sana yenye stability nzuri sana kwenye barabara. Ila baadhi ya sifa zake mbaya ni kama ifuatavyo hapa chini, ikiwa wewe siyo fundi yanaweza kuwa kero hasa yakishafikisha umri kama miaka 6 hivi au kutembea kama km 100,000: (a) Yanakula mafuta sana, (b) Suspension system yake siyo confortable barabarani; ni kama yametengezwa kwa ajili ya matumizi ya offroad zaidi ya barabarani. (c) Yana tabia ya kuchoma oil na kusababisha oil kupunguka haraka sana; usipokuwa makini unaweza siku moja kujikuta unaendesha bila oil. (d) Kukiwa na tatizo, matengezo yake yanaweza kukulazimisha kushusha injini zima kwa vile hayana nafasi ya kutosha mtu kufanya matengezo wakati injini imefungwa, (e) yana tabia ya kumisfire bila sababu yoyote hasa wakati wa baridi.
Mkuu huyo binti yako ana umri gan?

Tafadhal sana unaweza kunisaidia namba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom