Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

Nenda hapo Rita muone meneja au mkurugenzi mueleze issue yote. Asipokusaidia mwambie unenda wizara ya Sheria na katiba
 
Itatuchukua Karne Moja CCM kumpata Kiongozi mzuri na mchapa kazi kama JPM.

LEO NI TAR 17.3 NIMEMKUMBUKA HUYU MZEE SANA
 


Jifunze kuhoji, ukihoji hawa watumishi wa serikali wakati wanafanya ujinga wao huwa wanajirekebisha.

Kuna siku nimekamilisha utaratibu wote wa Sumatra, natakiwa nipewe sticker yangu.

Nikaenda pale Arusha jengo la Hifadhi mbele ya New Arusha, nilikuwa peke yangu.

Nikamoa huyo Dada vielelezo, akasema kaa pale, ikapita nusu saa kimya.

Nisogea dirishani, nikamwambia wahusika hawajaja, akasema wahusika ni wa kina nani.

Nikamwmbia mbona wanijibu hovyo, Nikamwmbia naondoka hapa, na hiyo sticker kabla ya lunch utaniletea utake usitake.

Akanipa sticker, msiende kinyonge kwa hawa watu, ukijua haki yako na ukafuata utaratibu usibembeleze.
 
Rita Mimi walinihudumia ndani ya wiki 2 tu done...

Lazima wewe mgumu WA kufata maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…