Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kwangu ilikua rahisi sana wiki mbili tu kurekebisha jina .Tarehe yes
Nadhani kushika mpini ni endapo ni kitu halali...ila kama ni barbarian monster hapana aisee....Sasa hilo ndo kosa Jingine kutaka kupimana mabavu na watu walioshika mpini huku Wewe umeshika makali..
😅
Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.?
Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii.
Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa nitoe...Kinachofanyika ni kwamba reception anaandikiwa kule ndani kwamba mpe muda, then kwenye documents ulizobeba moja inaandikwa njoo tarehe flan. Sababu ni kwamba wanawasiliana na source ya birthplace kwa mtoto.
Unapouliza kwa wadau wa RITA nje ya ofisi wanakubali ni kweli wanahitaji taarifa from the original.
Fine, baada ya 2020, 2021 topic ikachange shule wajaze fomu hii ikajazwa 2022 wiki ijayo, nenda rudi wiki ijayo....23 ikaja nenda ulete confirmation letter kutoka ward executive officer WEO.
Nikaishia hapo kwa 2023 December. Hapo pote nimekwepa tuu kutoa rushwa hadi sasa.
Japo nimechoka ila sinatra hata 100 mbovu. Nitalianzisha hata Edina akiwa University patelea mbali.