fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Shetani anafanya kazi kupitia binadamu hivyo utetezi wake huufanya kupitia kwa binadamu.Ndugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?π
Inatisha kwa kweli.Ni kesi za upande mmoja
HaswaaInatisha kwa kweli.
Kwa maana hiyo, shetani sio binadamu.Shetani anafanya kazi kupitia binadamu hivyo utetezi wake huufanya kupitia kwa binadamu.
Unanichanganya ujue!fimboyaukwaju said:Na shetani yupo kila mahali,misikitini,makanisani,kwenye michezo,kwenye ufuska,kwenye mabenki na serikalini yupo
Hivi ilikuwaje mkaamini hizi story hadi ukubwani ππShetani anafanya kazi kupitia binadamu hivyo utetezi wake huufanya kupitia kwa binadamu.
Na shetani yupo kila mahali,misikitini,makanisani,kwenye michezo,kwenye ufuska,kwenye mabenki na serikalini yupo
Sijawahi kusikia wala kuona tuhuma dhidi ya shetani ambayo si ya kweli, na hivyo sioni kwa nini ajiteteee. Lakini nimeona na kusikia tuhuma nyingi dhidi ya Mungu ambazo si za kweli, na zaidi Mungu yeye mwenyewe kujitetea, anawataka wanadamu wamtetee, kama mashahidi wake.Ndugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?π
Kwamba unamuonea huruma π.ahsante, mana yake shetani alikubali makosa na kuomba msamaha sio?
kwani huko misikitini na makanisani wapo kina nani? Si ni binadamu ndio wapo huko,kwani pasta,padri ai shehe anapozini,huwa wanafanyakazi kwa niana ya nani?Kwa maana hiyo, shetani sio binadamu.
Unanichanganya ujue!
Kama kama anafanya kazi kupitia binadamu iweje tena awe msikitini, kanisani, kwenye bar, michezo na kila mahali???!!
Inamaana shetani ni watu!!???
Kwanini Mungu hajawasamehe hadi leo wakati sisi tunaambiwa lazima tuwasamehe waliotukosea?Yes kwenye kitabu cha Enoko kiongozi wa Mashetani (Azazel?) alimuomba Enoko awaombee msamaha kwa Mungu.
Kitabu cha Enoch hakikuwekwa kwenye Biblia nyingi (kwenye nyingine kipo) mainly because Wayahudi hawakukichukulia kama sehemu ya Maandiko (Biblia ya Wayahudi / Agano la kale).Tupe somo kidogo mkuu, ni kwanini
Me nachojua akizini, anakuwa anajiridhisha, baada ya tamaa ya kusex kumuingia. Sidhani kama anazini kwa niaba ya mtu au kitu. Kwa sababu anaridhika mwenyewe.kwani huko misikitini na makanisani wapo kina nani? Si ni binadamu ndio wapo huko,kwani pasta,padri ai shehe anapozini,huwa wanafanyakazi kwa niaBa ya nani?
Ndio ushetani huo na ndio maana wakiuluzwa husema sio mimi ni dhetani kanishawishiMe nachojua akizini, anakuwa anajiridhisha, baada ya tamaa ya kusex kumuingia. Sidhani kama anazini kwa niaba ya mtu au kitu. Kwa sababu anaridhika mwenyewe.
Kwasababu sisi ni watoto wa Mungu tutakaoishi kwenye Ufalme wa Mungu,Kwanini Mungu hajawasamehe hadi leo wakati sisi tunaambiwa lazima tuwasamehe waliotukosea?
Been learning about Islam latelyShetani maana yake ni kiumbe (Jini au binadamu) muasi ambaye hupotosha viumbe (binadam na majini) wengine kuelekea katika njia ya sawasawa (iliyonyooka).
Mkuu wa mashaytwaan (mashetani) anaitwa Iblis. Huyu alilaaniwa mbinguni mara baada ya kukataa amri ya Mungu juu ya kumsujudia (kumpa heshima) Adam . Alikuwa na kiburi kwa kujiona yeye ni bora kutokana na kuumbwa kwa moto kuliko Adam aliyeumbwa kutokana na udongo.
Alimgomea Mungu katakata...na hata alipopewa nafasi ya kuomba msamaha (kutubia) kosa lake pia hakufanya hivyo ila alichagua kupewa umri mrefu wa kuishi duniani ili apate kuvipoteza vizazi vyote vya Adam.
Uadui wa Iblis kwa mwanadamu hauishi mpaka pale dunia itakapotamatika. Iblis ana majeshi yake ya wanaadamu na Majini...ambao nao pia huitwa mashetani kutokana na uasi wao na dhamira yao ya kupotosha vijmbe wengine wasieleke katika njia ya Mungu.
Jibu la swali lako ni kuwa Iblis ni ana jeuri ,kiburi na kujiona hivyo suala la kuomba msamaha kwake halipo moyoni mwake licha ya kujua hatma yake kuwa ni Motoni.
Mfano mzuri ni anko wake Mtume Muhammad (s.a.w) aliyeitwa Abu lahab...huyu alikuwa ni mpinzani mkubwa wa Mtume Muhammad enzi za uhai wake, Ufunuo uliteremshwa na Mungu kuja kwa Mtume kumuhusu Abu lahab na mkewe kuwa watakuwa ni kuni za motoni. Licha ya ujumbe huu mkali Abu Lahab na mkewe hawakufikiria suala la kusilimu na kuingia katika Uislam mpk kufa kwao. Moja kati ya muujiza mkubwa sana wa kitabu cha Quran kwani huyu mtu angesilimu basi Quran ingeonekana si ya kweli lwa kumuhukumu mtu Moto yungali hai na ameukubali Uislam.
Vivyohivyo Iblis (laana za Mungu ziwe juu yake) anajua maandiko yote ya Mungu katika vitabu vya Taurat,Zabur,Injil na Quran zikimuhukumu Moto ila hajawahi kutaka kuomba msamaha maishani mwake...Amechagua uasi badala ya uongofu.
Ni mjeuri sana.Hajaomba poo!Ndugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?π
Ndugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?π