Makosa yoote ya MUNGU kapewa Shetani😆Ndugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?😁
Enoko akasemajealimuomba Enoko awaombee msamaha kwa Mungu