ok.šNisameheniš
Hakika mtaka vyote hukosa vyote sasa najuta hata wale wako kuwa wananiona wa maana wamenitupa kwa trash
Ndugu zangu, msipende kuchukiza watu, kuna watu ukimess up nao, utachukiwa na kila mtu.
View attachment 3673257
binti kiziwi
ephen_
Lamomy
Binti wa zamani
Mallerina
min -me
Harmful
ShesRise_1
Baby Doll
Nina wa hakikisha inakwenda kuwa yule great thinker wenu wa kila siku
Duh....tumkumbuke kwenye maombi.Huyu tushamzoea na hizi mada za kubadilik
Sijaona.First born kwani huoni kilichotokea?
Bwashee sababu ni nini ya kuchukia watu?Nimechukiza watu bwashee
Kwangu sioni kama usumbufuš,,,,Huwa sipo siriaz hivyoAaah first born acha matani, si unaona nilivyo sumbua watu humu
Ndio kufanya niniKuwakandia bwashee