☹️na waliokuweka ignore list wakuondoe mara moja
Niamini Mimi.Sawa😂 unapenda nikose vyote we jamaa
de Gunner, nilikuambiaje! Njiwa kanasa kwa mtego.Sina tatizo na wewe na tatizo kati yetu haijawahi kuwepo.
Kwangu kila neno nilichukulia utani/masikhara, Kua na amani.!
NB: CHUKI UMUUMIZA ALIYEIBEBA
Nisameheni
Katika aspects zipi?Humu humu jukwaani