Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

Wewe jamaa hizo ni changamoto za kawaida wewe hauumwagi acha utoto chukua kifaa namba E kabisa acha ujinga
 
Mbona maradhi ya kawaida hayo, kama miwani anayo,na kuhusu kunyeshewa na mvua si miamvuli inauzwa kwa io anaweza akaepuka hilo
 
Umenifungua macho, but sidhani kama ugonjwa si wa kurithi ni mbaya sana. Am about to hit 30, kumbe bado naweza kupata mwnamke wa kuwa naye 👍
 
Mkuu umesema ni kipofu lakini anyone kwa miwani?? Si umempenda basi vumilia hujafa hujaumbika
 
nimepitia comments, wengi wanasema huyo mwanamke hafai kuwa mtu wa kumzalia watoto huyo mwanaume.

sasa mnashaurije, huyo mwanamke asiolewe maisha yake yote? au atafute mgonjwa mwenzake ndio aolewe naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…