Chatterman
JF-Expert Member
- May 25, 2024
- 264
- 511
Hao ndio anaendana nao 😂Shauri yake, atakutana na makina ngungungu atashangaaa

Kama una mpenda na unajiweza.I hope everyone is doing well.
Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.
Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.
Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.
Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.
Ushauri wakuu.
Hili linajibu maswali yako yote kaka...Jiweke kwenye nafasi yake
Halafu uachwe kwa sababu una changamoto kama hizo
Ungejisikiaje?
Ila wanaume mna Roho mbaya wabaguzi kinomaMkuu usijiviike bomu, maisha siyo rehearsal. Huyo atakufanya uwajue madaktari wote hapa mjini.
Na kama ana 22 anatumia miwani kama mzee wa miaka 60, jiulize akifikisha 50 itakuwaje?
Usitishwe na wanaokuponda eti na wewe Kuna siku utapata gonjwa kubwa. Unapotafuta mwenza unapaswa kuchagua mbegu bora ya kukuzalia watoto wenye afya.
Moja ya sifa ya mbegu bora ni kutokuwa na magonjwa. Sasa huyo ambaye akidonfokewa na tone la maji augua kifua, wa nini? Tupa kule.
Uko darasa la ngapi?.I hope everyone is doing well.
Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.
Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.
Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.
Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.
Ushauri wakuu.
Hasa ya kifua..kuna tatizo linawapataga bikra na ukiwa hujazaa. Chapa mimba azaw litaisha. La macho ushasema ana miwaniMpe Mimba , akizaa tu changamoto zote hizo zinaondoka
kwahiyo kama ni binti yake? so what?Aseee! Assume huyo unayotaka atupwe kule ni binti yako wa kumzaa
Tukiumwa sisi mnatukimbia, mkiumwa nyie mnataka tupambaneIla wanaume mna Roho mbaya wabaguzi kinoma
Kwa ugonjwa gani wa kumkimbia mtu hapoTukiumwa sisi mnatukimbia, mkiumwa nyie mnataka tupambane
Hata kama. Akwende huko akaolewe na hospitaliAseee! Assume huyo unayotaka atupwe kule ni binti yako wa kumzaa
Hata wanawake huwa wanawakimbia waume zao wakiugua magonjwa ya muda mrefu.Ila wanaume mna Roho mbaya wabaguzi kinoma
Ushauri wangu achananae yanini mzigo wa kujitakia.I hope everyone is doing well.