Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,435
- 3,120
Angekuwa na Baba angekuja humu?Baba yake ha
yupo? Au wavuta bangi wenzie pale kijiwe chao cha tip top?
Angekuwa na Baba angekuja humu?Baba yake ha
yupo? Au wavuta bangi wenzie pale kijiwe chao cha tip top?
Logically ndio, tusiendekeze hisia kwenye masuala seriousKwahiyo una shauri amuache?
Matatizo ya kigenetic yamempa bila yeye kujua ...Usimchukue mtu kwa asili yake bora tu sio mshirikina.Mnapenda kuchukulia mambo serious kimzaha mzaha , huyo mwanamke tayari ana matatizo ya kijenetiki ambayo likely yatajidhihirisha kwa watoto pia
Kuna wanawake sio wa kuzaa nao maana unaweza kutesa mpaka watoto mtakaozaa
Yaani huku naona walemavu kabisa ,kuna wale wafupi wanaolewa na wanapata watoto wazuri.Haumpendi huyo Binti,
Sababu kama ungempenda ungevumilia, usingehesabu mabaya, hustahimili yote...
Mapenzi yanakuwepogi mwanzoni mwa mahusiano tu ila nyakati nyingine zote ni uvumilivu wa mapungufu baina yetu na jinsi tunavyotatua matatizo hayoHaumpendi huyo Binti,
Sababu kama ungempenda ungevumilia, usingehesabu mabaya, hustahimili yote...
Haijalishi hayo matatizo ya kijenetiki ameyapata vipi ila sio matumizi mazuri ya mantiki kuzaa hapo na kuoa hapo kusema kweli; ingekuwa zama za kutafutiwa wachumba na wazazi huyo binti angekuwa kashatolewa kwenye kinyang'anyiro kitambo ila kwasababu tunaleta huruma za ajabu ajabu na falsafa za kilokole mnashauri jamaa hapa abebe mbuzi kwenye guniaMatatizo ya kigenetic yamempa bila yeye kujua ...Usimchukue mtu kwa asili yake bora tu sio mshirikina.
Kwani ubikra ndiyo tiketi ya mwanamke kutulia kwenye ndoa?Hayo ni matokeo , mkeo ni mkeo ..Mimi nitaoa hivi karibuni ,binti ana changamoto zake zaidi ya huyo ,tena sio bikra ,ila kama haitakuwa riziki basi tunaachana...Kikubwa kaniweka wazi tu.
Wengine ni changamoto wako ,kiufupi maisha hatujui lolote ...Kama mkiwa na nia ya dhati mnafika mbali sana.Kwani ubikra ndiyo tiketi ya mwanamke kutulia kwenye ndoa?
Usimp na kuendekeza hisia kutacost aisee hawa watu ni wajinga na hawana shukrani kabisaYaani huku naona walemavu kabisa ,kuna wale wafupi wanaolewa na wanapata watoto wazuri.
Kama mkishindwana basi ,mimi ningeoa kwa nilivyo na ningemsaidia hayo matatizo yake mpaka pale uwezo wangu utakapoishia.
Aseee! Assume huyo unayotaka atupwe kule ni binti yako wa kumzaaMkuu usijiviike bomu, maisha siyo rehearsal. Huyo atakufanya uwajue madaktari wote hapa mjini.
Na kama ana 22 anatumia miwani kama mzee wa miaka 60, jiulize akifikisha 50 itakuwaje?
Usitishwe na wanaokuponda eti na wewe Kuna siku utapata gonjwa kubwa. Unapotafuta mwenza unapaswa kuchagua mbegu bora ya kukuzalia watoto wenye afya.
Moja ya sifa ya mbegu bora ni kutokuwa na magonjwa. Sasa huyo ambaye akidonfokewa na tone la maji augua kifua, wa nini? Tupa kule.
Mkishindwana mnaacha ,angalia nafasi yako wewe ,una madhaifu gani..UsuUsimp na kuendekeza hisia kutacost aisee hawa watu ni wajinga na hawana shukrani kabisa
Hawana akili hao zwanabagua wakati tu hana hatia .Aseee! Assume huyo unayotaka atupwe kule ni binti yako wa kumzaa
Oa hizo changamoto zinavumilikaUshauri wakuu.
Kakuweka wazi yote au yale ambayo anadhani unaweza kuvumilia kuyajua?Hayo ni matokeo , mkeo ni mkeo ..Mimi nitaoa hivi karibuni ,binti ana changamoto zake zaidi ya huyo ,tena sio bikra ,ila kama haitakuwa riziki basi tunaachana...Kikubwa kaniweka wazi tu.
Kwa matatizo binti yako uliyemzaa aliyokuwa nayo unaona sawa huo mzigo umuangushie kijana wa watu anayejitafuta?Aseee! Assume huyo unayotaka atupwe kule ni binti yako wa kumzaa
Hizo chanagamoto zinahitaji pesa mzee Baba, sio uvumilivu maana uvumilivu tunamuhesabia mwanamke kwa wewe mwanaume ni hudumaOa hizo changamoto zinavumilika