Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

Kwamba unamuacha Binti unayesema amekufa ameoza tena umethibitisha wewe mwenyewe kuwa ni bikra kwa sababu tu anaumwa macho na kifua?

Sawa...
Kifua ni gonjwa chronic hilo, kama huna Bima na ukamuoa utauza vitu vyote ndani
Pia watoto anaweza akaambukiza huo ugonjwa maana inaonekana ni genetic
 
Usiogope comments wewe mpige chini huyo mwanamke, hata mkulima hawezi kupanda mbegu zake kwenye shamba lisilo na udongo wenye rutuba..!!

Hizo changamoto angekuwa nazo kipindi mshaoana sawa. Ukikaza fuvu utashinda unaweka appointment na madaktari bingwa kila siku..!
Thank you for your response
 
Yeye pia hakupenda kuwa hivyo kama una mpenda hizo changamoto ni ndogo sana kwa maana hata wewe huwezi kujua kwsho utakuwaje
Mnapenda kuchukulia mambo serious kimzaha mzaha , huyo mwanamke tayari ana matatizo ya kijenetiki ambayo likely yatajidhihirisha kwa watoto pia
Kuna wanawake sio wa kuzaa nao maana unaweza kutesa mpaka watoto mtakaozaa
 
Mpeleke kwa dr apimwe ukute ana circles cells aise ama ukute hawezi ama haruhusiwi kuzaa kwa sababu za ki afya
 
Kwani mtoa maada amekosea wapi kuombe ushauri? ..kwenye swala zima la mwenza issue ya afya pia ni muhimu sana kuifanyia analysis ya kutosha. Kama mtu ana magonjwa sugu ya kurithi why would you take risk? Mpira upo kwako kijana.
Kweli kabisa mkuu na ukizingatia hali hiyo inaweza kuja kuwa hadi kwa watoto. Kwakuwa hajalala nae afanye maamuzi.
 
Ungekuja hapa baada ya kumbikiri mimi binafsi ningekushauri, kwasasa sina cha kukushauri, kwasababu wakishaonja tunda huwa wanabadilika sana. Naamini baada ya mda unaweza ukaja kufuta baadhi ya sifa zake hapa.
 
I hope everyone is doing well.

Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.

Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.

Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.

Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.

Ushauri wakuu.
Umesema unajimudu kiuchumi na unampenda? Ni bikra? Hana maambukizi? Wanawake wengi wa kisasa wana changamoto mbalimbali za kiafya. Macho na arage ni changamoto za kawaida. Oa weka mazingira safi
 
Nadhani hivyo sio vigezo vya kushindwa kumuoa mtu.. Kuvaa miwani na kuumwa kifua hivi ni vitu ambavyo mbona vina prevalence kubwa kwenye jamii na watu wanaishi navyo?? Unachopaswa kutambua kila binadamu ana changamoto ya kimwili either inayoonekana au isiyoonekana. Ushauri wangu Ni kwamba akafanye screening ya Genetic disorders, Kama Hana Basi muoe tu. Unaweza oa mtu unayeona ana afya Ila ndio akakuzalia watoto wenye magonjwa. Jiulize watu wangapi wazima wamezaa watu wenye impairment?? Hizo Sababu ulizotoa ni za kawaida Sana.
 
Watu wanaoa walemavu kabisa . Unaongelea macho muoe umpambanie ..
 
I hope everyone is doing well.

Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.

Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.

Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.

Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.

Ushauri wakuu.

Muache tu maana wewe ni Mbinafsi, unaweza muoa aliyekamilika kesho akagongqa akakatwa Miguu miwili
 
Wale wanawake anaowaona kama chotara wa kiarabu ,kama hajui kwa asilimia kubwa wana sickle cell tena inatembea vizazi na vizazi ila bado watu wanaoa .
 
AmpnAmpambanie ili aje kumkimbia? Hivi unawajua hawa makima wa kike?
Hayo ni matokeo , mkeo ni mkeo ..Mimi nitaoa hivi karibuni ,binti ana changamoto zake zaidi ya huyo ,tena sio bikra ,ila kama haitakuwa riziki basi tunaachana...Kikubwa kaniweka wazi tu.
 
I hope everyone is doing well.

Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.

Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.

Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.

Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.

Ushauri wakuu.
Uliprove vipi kuwa ni bikra?
 
Mnapenda kuchukulia mambo serious kimzaha mzaha , huyo mwanamke tayari ana matatizo ya kijenetiki ambayo likely yatajidhihirisha kwa watoto pia
Kuna wanawake sio wa kuzaa nao maana unaweza kutesa mpaka watoto mtakaozaa
Kwahiyo una shauri amuache?
 
Back
Top Bottom