Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

Hizo chanagamoto zinahitaji pesa mzee Baba, sio uvumilivu maana uvumilivu tunamuhesabia mwanamke kwa wewe mwanaume ni huduma
Macho na kifua zinacost kiasi gani cha pesa? Oa hizo changamoto zinavumilika
 
Protocal ya maisha ni kutegemeana. Huyo mwenye mapungufu hayo ni madogo sana kimaisha. Wewe hapo upo mzima wa afya ila kesho yako aijua Mungu. Unaweza kuoa mwanamke mwenye macho na kifua safi kabisa ila amani ya ndoa usiipate hadi unaingia kaburini. Huyo kajitunza hvyo yupo na hizo changamoto ambazo sio changamoto materials unajiukiza mara nyingi?

Ushauri wangu: Muoe. Hizo chamgamoto zinatatulika na zinavumikika.

Unaweza kuona mwanamke ukitoka tu kugongewa laivu haina shida. Mwanamke jeuri na kiburi haswa.

Usikosee kuoa. Kama ni changamoto hizo za kimaumbile, Oa. Chamgamoto za kitabia na akili mgando ndio wanaume hua hatuoi
 
Piga chini

Bila hvyo wew ndo utakuwa mke,hata ukiweka beki 3 kila siku kucare mtu kama mtoto ni kazi sana
 
Macho na kifua zinacost kiasi gani cha pesa? Oa hizo changamoto zinavumilika
Obviously hujaishi na watu wenye pumu na matatizo ya sickle cell, huyo demu akipata mimba tu unaweza kujikuta unahangaika ukachoma pesa nyingi sana utadhani unahudumia mgonjwa wa dialysis
 
I hope everyone is doing well.

Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.

Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.

Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.

Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.

Ushauri wakuu.
hujafa hujaumbika
 
Protocal ya maisha ni kutegemeana. Huyo mwenye mapungufu hayo ni madogo sana kimaisha. Wewe hapo upo mzima wa afya ila kesho yako aijua Mungu. Unaweza kuoa mwanamke mwenye macho na kifua safi kabisa ila amani ya ndoa usiipate hadi unaingia kaburini. Huyo kajitunza hvyo yupo na hizo changamoto ambazo sio changamoto materials unajiukiza mara nyingi?

Ushauri wangu: Muoe. Hizo chamgamoto zinatatulika na zinavumikika.

Unaweza kuona mwanamke ukitoka tu kugongewa laivu haina shida. Mwanamke jeuri na kiburi haswa.

Usikosee kuoa. Kama ni changamoto hizo za kimaumbile, Oa. Chamgamoto za kitabia na akili mgando ndio wanaume hua hatuoi
Maneno ya kikubwa haya.
 
Kama hukutaka kuzaliwa mwanaume si ungezaliwa Mwajuma nyamigoko wahuni wakushone😡
 
Obviously hujaishi na watu wenye pumu na matatizo ya sickle cell, huyo demu akipata mimba tu unaweza kujikuta unahangaika ukachoma pesa nyingi sana utadhani unahudumia mgonjwa wa dialysis
Sawa pesa kiasi gani?
 
Ndio maana watu wanaenda kupima afya..

Ndio maana wazee wetu walikuw wanafanya recommendations wapi uoe wapi usitie mguu..

Ndio maana wenzetu huw wanafatilia magonjw (Background checks) before ndoa..

Unaweza kuta yeye ni mzima kabisa hana shida ila kihistoria kuna ndugu wanashida flan flan za magonjw ya kurithi.. huyo tyr ni redflag kwa kizazi chenu.

Cha kushauri usioe, but msaidie kadri inavyowezekana ktk safari yake ya matibabu mpk mwisho.

Bora shida itokee ukiw ndani ya ndoa na si kabla.. kuuguza kunachosha, kunaumiza.. pia fikira watoto wenu watakuwaje? Hiyo shida ni ya vizazi kwa vizazi..
 
Nyi
Mkishindwana mnaacha ,angalia nafasi yako wewe ,una madhaifu gani..

Kuna dada hap kaolewa na shekhe kutika zenji ,dawa kwao ni wasambaa hawana noma ila yule shekhe ukoo wao unq historia ya sickle cell...Watoto wake watatu wawili wameupata ,anauguza hata shule hawaendi watoto ,mmoja miala 7 mwingine 5...Hili tatizo chanzo ni upande wa mume.

So angalia kotekote na wewe uko perfect kiasi gani ,kuna mpango kama mkishindwana basi...Leo nilipo ni juhudi za kukataa ushauri wa watu kama huo wa kuacha kufanya jambo.Ukitaka nitakueleza?
e watu wa Tanga wapumbavu sana kwenye mapenzi aisee
 
I hope everyone is doing well.

Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.

Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.

Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.

Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.

Ushauri wakuu.
Tuwe na roho ya Mungu. Changamoto ndogondogo kama mwanaume naweza kubeba
 
Ninauwezo wa kukueleleza dawa hicho kifua kikapona,hiyo ni dalili ya Asma
 
Mwamba Unaijua kesho yako? Kama unaijua hongera sana.

Maisha ni fumbo, na kamwe usimtenge au kumkwepa mtu kwasababu ya udhaifu ulio nje ya uwezo wake, wewe unaweza kuja kupata tatizo kubwa zaidi yake.

Ndoa ni maelewano, hizi changamoto ndogo ndogo Wala hazina issue kwenye ndoa.

Unaweza tafta unayehisi amekamilika ikawa mwiba kwenye mafanikio yako na ukajikuta unarudi zero.
Umeongea kila kitu.Sina cha kuongeza wala kupunguza.Aliyetaka ushauri, asipokuelewa,basi shauri lake.
 
Hayo ni matokeo , mkeo ni mkeo ..Mimi nitaoa hivi karibuni ,binti ana changamoto zake zaidi ya huyo ,tena sio bikra ,ila kama haitakuwa riziki basi tunaachana...Kikubwa kaniweka wazi tu.
Babu Kama sio bikra piga Chini mkuuu.

Piga Chini mapemaaa lasivyo unaowa wake zawatu

😂😂
 
Kama Ana magonjwa Sugu ya kurithi ni vizuri ukamuacha na sio kuwa utakuwa umemkosea MTU yeyote hapa lazima ufikirie mambo mengi.

Ushauri
usimuoe , Ila waweza msaidia kumtfutia Bima ya Afya na support za hapa na pale

Kwakuwa haujamvmchezea achana na swala la kumuoa
 
Babu Kama sio bikra piga Chini mkuuu.

Piga Chini mapemaaa lasivyo unaowa wake zawatu

😂😂
Acha kutisha watu ,ndo sio kifungo unaweza kuvunja kama hamuendani..Mnazni mabinti wa watu halafu mnawatelekeza.
 
Back
Top Bottom