Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
NDUGU ZANGU, SIO “COME DOWN”, NI “CALM DOWN”.
Katika post hii naomba niwakumbushe kuwa unapokuwa ukimtuliza mtu aliyepaniki au mwenye hasira, huwa hatusemi “come down”. Huwa tunasema “calm down”.
Mwanzo nilidhani ni kwenye kuongea tu kwakuwa matamshi yanafanana, sasa kwa siku za hivi karibuni ndio nimejua kumbe ni tatizo hadi kwenye kuandika.
Nimeungwa kwenye group moja la walimu, kuna muda inatokea hali ya kutoelewana ndani ya group. Sasa katika kutulizana naona wanatumia “come down”. Nashukuru nimewaelewesha wameelewa.
Huu ni mfano mmoja tu, lakini kuna mifano mingi. Wengi wetu tumekuwa tukichanganya sana hizi ‘phrasal verbs’.
HII LUGHA INAFUNDISHIKA KABISA. NA TUNAWEZA KUEPUKA HAYA MAKOSA MADOGO MADOGO KWA KUJIFUNZA.
HUWA NAUMIA SANA NIKITUMIWA ‘VIDEO CLIPS’ ZINAZOWAONESHA WATANZANIA WAKIPATA FEDHEHA YA LUGHA HUKO KWENYE NCHI ZA WENZETU WAKATI WANA FURSA YA KUJIFUNZA.
LICHA YA KUWA TUNAPENDA MANENO YA KUJIFARIJI, LAKINI UKWELI SIKU ZOTE NI MMOJA. LUGHA YA KIINGEREZA NI LUGHA MUHIMU SANA KWA MTU AMBAYE ANATAMANI KUJIFUNZA VITU VINGI NA KUSAFIRI NJE YA NCHI.
KWA WAFANYABIASHARA NDIO KABISA. HII NI LUGHA MUHIMU SANA.
NILIKUWA NAWAKUMBUSHA TU. KWA YEYOTE ANAYEHITAJI KUJIFUNZA ANAWEZA KUJIUNGA NA KOZI YETU.
TUMA UJUMBE WAKO KWENDA WHATSAPP NAMBA 0716107367, AU BOFYA PALIPOANDIKWA NENO “WHATSAPP” KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA.
ADA KWA ONLINE COURSE NI ELFU 50 KWA MWEZI.
TURUDI KWENYE MADA KWA UFUPI ………….
Nimesema, unapomtuliza mtu amabaye ana hasira, amepaniki, au kuwa katika hali ya kutotulia (kuweweseka), tunasema “calm down”.
Calm down humaanisha ‘tulia’.
Neno ‘come down’ licha ya kuwa na maana nyingine, maana yake kuu humaanisha ‘shuka chini’ au ‘shuka’.
TUTAZAME MIFANO KWA UFAFANUZI ZAIDI:
1. Calm down and tell us what is going on. (Tulia na utuambie nini kinaendelea.)
2. Just calm down a bit! (Tulia kidogo!)
3. Calm down! I’ve said I’m sorry. (Tulia! Nimesema samahani/nisamehe)
4. Just calm down – shouting won’t solve anything. (Tulia tu! Kupiga kelele/mayowe hakutatui chochote)
5. Calm down, there is nothing to worry about. (Tulia, hakuna cha kuhofia)
6. Come down from that tree! (Shuka kwenye mti huo/ Shuka chini kutoka kwenye mti huo!)
7. We were lucky the wall didn’t come down. (Tulikuwa na bahati ukuta haukushuka chini/ poromoka)
ITAENDELEA …………………..