Ndugu zangu tuiombee Yanga

Ndugu zangu tuiombee Yanga

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Kutokana na uimara na umadhubuti wa Marumo gallants, ni wazi kuwa tunapaswa kuiombea dua njema Yanga ili iweze kufika fainali ya michuano hiyo mikubwa. Kwa mtazamo wangu, hii ni kama bahati kwetu kwani zipo timu bora sana zimeshindwa kufikia hatua hii na bahati haiji mara mbili. Mungu tusaidie
 
Ni sahihi kabisa kumshirikisha Mungu,maana wengine walishikisha Nguvu za Giza na wakatoka patupu.

Mungu ibariki Yanga iweze kusonga mbele
 
Meneja wa Marumo anakwambia Let football be football
Sijui alishawaona Yang'a ni wazee wa mambo ya gizani??
 
Kutokana na uimara na umadhubuti wa Marumo gallants, ni wazi kuwa tunapaswa kuiombea dua njema Yanga ili iweze kufika fainali ya michuano hiyo mikubwa. Kwa mtazamo wangu, hii ni kama bahati kwetu kwani zipo timu bora sana zimeshindwa kufikia hatua hii na bahati haiji mara mbili. Mungu tusaidie
Marumo Gallants haina maajabu yoyote yale! Hatma ya mechi ya leo iko mikononi mwa kocha Nabi. Yanga ina wachezaji wengi wazuri.
Akianza na kikosi cha wachezaji wavivu, na wasiojituma kwenye kukaba; tutafungwa.

Na iwapo atawaheshimu wapinzani, na kuanza na kikosi cha wakabaji wengi! Na kuacha watu wachache mbele kwa ajili ya counter attacks, kama alivyofanya kwenye mechi ya ugenini dhidi ya Rivers United, tutatia sare, au hata kushinda kabisa ugenini.
 
Back
Top Bottom