Kutokana na uimara na umadhubuti wa Marumo gallants, ni wazi kuwa tunapaswa kuiombea dua njema Yanga ili iweze kufika fainali ya michuano hiyo mikubwa. Kwa mtazamo wangu, hii ni kama bahati kwetu kwani zipo timu bora sana zimeshindwa kufikia hatua hii na bahati haiji mara mbili. Mungu tusaidie