AmeenMungu ibariki MARUMO gallants
Ni sahihi kabisa kumshirikisha Mungu,maana wengine walishikisha Nguvu za Giza na wakatoka patupu.Kutokana na uimara na umadhubuti wa Marumo gallants, ni wazi kuwa tunapaswa kuiombea dua njema Yanga ili iweze kufika fainali ya michuano hiyo mikubwa. Kwa mtazamo wangu, hii ni kama bahati kwetu kwani zipo timu bora sana zimeshindwa kufikia hatua hii na bahati haiji mara mbili. Mungu tusaidie
Marumo Gallants haina maajabu yoyote yale! Hatma ya mechi ya leo iko mikononi mwa kocha Nabi. Yanga ina wachezaji wengi wazuri.Kutokana na uimara na umadhubuti wa Marumo gallants, ni wazi kuwa tunapaswa kuiombea dua njema Yanga ili iweze kufika fainali ya michuano hiyo mikubwa. Kwa mtazamo wangu, hii ni kama bahati kwetu kwani zipo timu bora sana zimeshindwa kufikia hatua hii na bahati haiji mara mbili. Mungu tusaidie