Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Siyo lugha yetu ya asiliNdugu mzalendo aliyekwambia kuwa kiswahili sio lugha yetu ni nani?
lugha yetu ya tanzania ni ipi ya asiliSiyo lugha yetu ya asili
Lugha za makabila yetulugha yetu ya tanzania ni ipi ya asili
Huo ndiyo ukweliNdugu mzalendo aliyekwambia kuwa kiswahili sio lugha yetu ni nani?
lugha yetu ya tanzania ni ipi ya asili
Hata Waarabu walipokuja Afrika ya mashariki walikikuta Kiswahili kikizungumzwa ukanda wa masharik ya Afrika.Hata Tanzania sio asili, ni mkoloni alikuja akachora chora mipaka na kubuni Tanzania, Kenya n.k.
Kila mmoja ana lugha yake ya asili, hamna kabila hata moja hapa Afrika lisilio na lugha yake ya asili.
Muarabu alipokuja na kwa ushirikiano na wabantu wakabuni kiswahili na kikazagaa kote.
Kimetusaidia sana hapa EAC kwa kutuwezesha kuwasiliana na kushirikiana, lakini tuache kujidanganya kwamba ni lugha ya asili.
Hata Waarabu walipokuja Afrika ya mashariki walikikuta Kiswahili kikizungumzwa ukanda wa masharik ya Afrika.
Unadhani neno sawa sawa likitokea kwa bahati mbaya