Ndugu zangu ukweli ni kuwa Kiswahili siyo lugha yetu ya asili Watanzania, kwanini tunatumia nguvu kubwa kufanya iwe ugha yetu ya taifa?

Ndugu zangu ukweli ni kuwa Kiswahili siyo lugha yetu ya asili Watanzania, kwanini tunatumia nguvu kubwa kufanya iwe ugha yetu ya taifa?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Zipo lugha nyingi za asili kwetu Watanzania lakini kiswahili siyo miongoni mwao

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima pekee

Dominika njema
 
Na hii bdyo Moja ya madhara ya kudharau historia kpindi muwapo shule, kitu kidogo kama hiki kisingekuchanganya
 
Na hii ndyo Moja ya madhara ya kudharau historia kpindi muwapo shule, kitu kidogo kama hiki kisingekuchangany
 
Mleta mada lugha yetu ya asili ni ipi, kama unadai kiswahili sio lugha yetu ya asili. Je lugha ya asili ni ipi?
 
lugha yetu ya tanzania ni ipi ya asili

Hata Tanzania sio asili, ni mkoloni alikuja akachora chora mipaka na kubuni Tanzania, Kenya n.k.
Kila mmoja ana lugha yake ya asili, hamna kabila hata moja hapa Afrika lisilio na lugha yake ya asili.
Muarabu alipokuja na kwa ushirikiano na wabantu wakabuni kiswahili na kikazagaa kote.
Kimetusaidia sana hapa EAC kwa kutuwezesha kuwasiliana na kushirikiana, lakini tuache kujidanganya kwamba ni lugha ya asili.
 
Hata Waarabu walipokuja Afrika ya mashariki walikikuta Kiswahili kikizungumzwa ukanda wa masharik ya Afrika.

Unadhani neno sawa sawa likitokea kwa bahati mbaya?
 
Mafanikio yote ya ukombozi na vita....

Yamezaa upendo na heshima Afrika...

Eh Mungu nijalie niishi kwa utayari......

Kutimiza wajibu kwa wananchi wote....
 
Hi I kitu MBA ya sana ndio maana sisi hata ule ustaarabu tu ni F. Ukishaitwa mswahili tayari ulishakuwa wa hovyo na goigoi.
 
Back
Top Bottom