Ndugu zangu wa Dodoma naomba mualiko Christmas hii

Ndugu zangu wa Dodoma naomba mualiko Christmas hii

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Ndugu zangu kulingana na huu ukata wa maisha nimeshindwa kuambatana na ndugu zangu kuelekea mgombani kula sikukuu naombeni nyinyi mlioko Dodoma mnialike nije kula ubwabwa.
 
Na mimi naomba msaada kwa manzi aliyeko Mkoa wa Tanga, aje Lushoto anisaidie kupika pilau la sikukuu. Nauli na gharama za usumbufu, atarejeshewa.

Muhimu tu awe anajua kupika pilau la sikukuu.
Mimi natafuta pa kwenda kula tu na tubia tuwili za kujazia nitakua nayo jumla ziwe bia 6
 
Na mimi naomba msaada kwa manzi aliyeko Mkoa wa Tanga, aje Lushoto anisaidie kupika pilau la sikukuu. Nauli na gharama za usumbufu, atarejeshewa.

Muhimu tu awe anajua kupika pilau la sikukuu.
😂😂😂😂 nimecheka mno
 
Njoo makole hapa karibu na shabiby, Kuna bar inaitwa shangwe nipo hapa now
 
Kwani Nyerere square na Mashujaa kumefungwa?
 
Back
Top Bottom