Chukua mwiko uuweke mlangoni halafu uuruke. Gesi itaisha na tumbo litarudia hali ya kawaida... mmekula mpaka mmevimbiwa!
Mimi sijavimbiwaNdugu zangu, nimefanya bidii mchana na usiku, kuwapa chakula kitamu mfululizo. Naona mmekula mpaka mmevimbiwa! Kwa sababu hiyo, naomba nisitishe tena kwa muda kuandika mada hapa JF, nipate nafasi ya kujiandaa kwenda kugawa chakula katika maeneo mengine ya dunia. Lakini kabla sijaondoka, nitakuwa na siku mbili tatu za kujibu maswali na comments za watu walioshindwa kuelewa faida za chakula nilichowapa.
Asanteni sana, mliofurahia chakula nilichowaandalia. Na wale mliochukizwa na "menu" nawashukuru pia kwa kuonja!
As I remain briefly to address your sincere inquiries, may divine light sharpen your discernment and peace steady your soul. Until my full departure, I am at your service.
Noma sana hiiπππChukua mwiko uuweke mlangoni halafu uuruke. Gesi itaisha na tumbo litarudia hali ya kawaida
While the actuality of psychological aberrations, commonly termed mental cases, is not in dispute, it is intellectually precarious to hastily conflate manifestations of divine ecstasy with pathological derangement. As the apostle Paul articulates with unapologetic clarity: 'If we are beside ourselves, it is for God; if we are of sound mind, it is for you.' (2 Corinthians 5:13). Therefore, what may appear as cognitive dissonance to the carnal eye might, in the economy of Heaven, be the sacred overflow of a mind captivated by the ineffable majesty of the Divine.Mental case is real..