Ndugu zangu wa Jimbo la Hai , mpeni Ubunge SHABAN MWANGA Uchaguzi wa 2025

Kwani mda wa kumpeni umefika...? Maana hizi speed za kuwanadi zimepamba moto!
 
Muda Ndio huu mkuu.
Waliopo ni Wale waliozolewa na JPM bila kuwa na sifa za ubunge.

Pili aliyepo ni mwanafunzi wa UDOM anasomea PhD na wananchi na wana ccm wanataka maendeleo na Sio PhD.
 
Wewe Peno kweli!
 
Kama huyo Shehe unataka aingie kwa tiketi ya kumponda Magufuli ujue atapotea kama anavyopotea mumeo Lisu
 
Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai.

Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
Hivi ni kiongozi gani alikuwepo Wilaya ya Bagamoyo wakati wa kutathmini ardhi ya Bandari Mpya?. Et kila muathirika alitoka nje ya Dar na walikuwa matajiri. Kweli??
 
Huyu si yule tajiri mwenye derm tower na anamiliki ile bank inajulikana kama mwanga hakika bank?
 
Attachments

  • 1DD2C6FD-FBDC-44A1-A2B5-920841EE8D0F.jpeg
    1DD2C6FD-FBDC-44A1-A2B5-920841EE8D0F.jpeg
    23 KB · Views: 4
Kama huyo Shehe unataka aingie kwa tiketi ya kumponda Magufuli ujue atapotea kama anavyopotea mumeo Lisu
Lissu anachanja mbuga kigoma na magharibi geita yote kaichafya mwenzetu ukwap
 
Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
Majukumu na ubunge wapi na wapi?

Bado una swaga za kizamani za kutumia chochoro za udanganyifu ili kupata ubunge??

Kama ana majukumu makubwa anatafuta ubunge wa nn? Si aendelee kuwatumikia wana Hai kupitia hayo majukumu!!
 
Back
Top Bottom