peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Muda Ndio huu mkuu.Kwani mda wa kumpeni umefika...? Maana hizi speed za kuwanadi zimepamba moto!
Wewe Peno kweli!Muda Ndio huu mkuu.
Waliopo ni Wale waliozolewa na JPM bila kuwa na sifa za ubunge.
Pili aliyepo ni mwanafunzi wa UDOM anasomea PhD na wananchi na wana ccm wanataka maendeleo na Sio PhD.
Kampeni hazijaanzaNimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai.
Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
Kama huyo Shehe unataka aingie kwa tiketi ya kumponda Magufuli ujue atapotea kama anavyopotea mumeo LisuMuda Ndio huu mkuu.
Waliopo ni Wale waliozolewa na JPM bila kuwa na sifa za ubunge.
Pili aliyepo ni mwanafunzi wa UDOM anasomea PhD na wananchi na wana ccm wanataka maendeleo na Sio PhD.
Hivi ni kiongozi gani alikuwepo Wilaya ya Bagamoyo wakati wa kutathmini ardhi ya Bandari Mpya?. Et kila muathirika alitoka nje ya Dar na walikuwa matajiri. Kweli??Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai.
Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
Mkojo shida ni nini lakini?Kama huyo Shehe unataka aingie kwa tiketi ya kumponda Magufuli ujue atapotea kama anavyopotea mumeo Lisu
Wewe Peno kweli!
Lissu anachanja mbuga kigoma na magharibi geita yote kaichafya mwenzetu ukwapKama huyo Shehe unataka aingie kwa tiketi ya kumponda Magufuli ujue atapotea kama anavyopotea mumeo Lisu
Majukumu na ubunge wapi na wapi?Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
Mwaka wa uchaguzi mkuu umefika?Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai.
Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
Na ma CITY COLLEGE YAKE ATAMWACHIA NANI?Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai.
Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai.
Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.