Ndugu zangu wa mikoani mmeanza kuniangusha

Ndugu zangu wa mikoani mmeanza kuniangusha

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Nilikua nawasifia sana lakini kwa style hii mtaendelea kulizwa sana na watoto wa Daresalam..
Screenshot_20180802-100736.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nimejikuta ninaimba "wanaume tumeumbwa matesoooo kuhangaika"

yani pata picha jamaa alinyweaje 😀😀😀😀😀 na bora ilikuwa via text ingekuwa face to face ndo kajibiwa hvyo asingetongoza tena maisha yake yote
 
nimejikuta ninaimba "wanaume tumeumbwa matesoooo kuhangaika"

yani pata picha jamaa alinyweaje 😀😀😀😀😀 na bora ilikuwa via text ingekuwa face to face ndo kajibiwa hvyo asingetongoza tena maisha yake yote
Hahahaha wasukuma bwana hamtaacha kututia aibu mpaka dunia inakwisha.
 
Bora huyu kuna wengine unaweza kulia kwa hasira
 
Back
Top Bottom