Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Nilikua nawasifia sana lakini kwa style hii mtaendelea kulizwa sana na watoto wa Daresalam..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefuraaahi mkuu na wewe ni mwanamke wa Dar au.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] huyo demu nae fala (kwa sauti ya mzee wa upako)Nilikua nawasifia sana lakini kwa style hii mtaendelea kulizwa sana na watoto wa Daresalam..
View attachment 824848
[emoji23]Jibu la huyo dada limenibariki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha wasukuma bwana hamtaacha kututia aibu mpaka dunia inakwisha.nimejikuta ninaimba "wanaume tumeumbwa matesoooo kuhangaika"
yani pata picha jamaa alinyweaje 😀😀😀😀😀 na bora ilikuwa via text ingekuwa face to face ndo kajibiwa hvyo asingetongoza tena maisha yake yote
Kwani mkuu na wewe ni wa mikoani et[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]aibu nimeona mimi
Hahahaha wasukuma bwana hamtaacha kututia aibu mpaka dunia inakwisha.
Inasikitisha sana...[emoji23] huyo demu nae fala (kwa sauti ya mzee wa upako)
Kwani siku hizi kuna kutongozana ?
Na wewe mkuu ni wa Dar?Jibu la huyo dada limenibariki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia mpaka inakwisha....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Waskuma n wajinga sana
Wa mkoani Mkuu.Na wewe mkuu ni Dar?
Hahahaha..Katia huruma