Ndugu zangu wa Simba njooni tukubaliane hili kabla ya mechi

Ndugu zangu wa Simba njooni tukubaliane hili kabla ya mechi

Kuanzia Mwekezaji, Viongozi, wachezaji, Mashabiki wote tupo safii kabisa.
Hatuna shida.
 
itafika hatua wataanza kukanyagana!
 
Mangungu anafaa au hafai? Na msibadili gia baada ya mechi.
Hilo swali ndilo nimekua nikiwauliza mashabiki wa Mbumbumbu leo tangu asubuhi.

Kiufupi watuambie mapemaa kabla hatuja wapiga 4, Mangu anafaa ama hafai?

Kibu d ni msaliti (kauza timu) ama nini?
 
Back
Top Bottom