Ndugu zangu waislamu, nina maswali.....

Ndugu zangu waislamu, nina maswali.....

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
  1. Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo
  2. Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu kusoma zenu ni changamoto
  3. Mbona mnakula sana kitimoto ndugu zangu? Mmejiruhusu au mmeruhusiwa?
 
Hawa watu Hutawaweza , ila nami nasema hapa vazi la Kanzu sio ishara ya uislamu ,,wala uislam hauna umiliki wa hilo vazi ,,lilikuwepo miaka mingi sana na lilivaliwa na jamii ya kale ya Asia na ulaya .

Kwahiyo nawewa vaa kanzu nikaingia kwenye banda LA kitimoto nikala na ugali na bia zangu mbili ,

Naweza nikavaa nikaa baa vizuri na mrembo.
 
Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo
Kuna mtu mnayetamani kumuabudu kwa mara ya kwanza alikaribishwa na waislamu(hao mnaowaona duni) na wakamsaidia sana lakini alivyofanikiwa kukipata alichokitamani aliwatupilia mbali wenyeji wake na kujitenga nao na alihakikisha wanakua duni milele isipokuwa wachache ambao walikubali kuwa chawa wake.
Leo mnawadhihaki!
 
  1. Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo
  2. Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu kusoma zenu ni changamoto
  3. Mbona mnakula sana kitimoto ndugu zangu? Mmejiruhusu au mmeruhusiwa?

Hilo la 3. Hakuna Mwenye mamlaka ya kumpangia mwenzake.
😛
 
Hawa watu Hutawaweza , ila nami nasema hapa vazi la Kanzu sio ishara ya uislamu ,,wala uislam hauna umiliki wa hilo vazi ,,lilikuwepo miaka mingi sana na lilivaliwa na jamii ya kale ya Asia na ulaya .

Kwahiyo nawewa vaa kanzu nikaingia kwenye banda LA kitimoto nikala na ugali na bia zangu mbili ,

Naweza nikavaa nikaa baa vizuri na mrembo.

Wenzako hilo vazi wanaliabudu
 
Kuna mtu mnayetamani kumuabudu kwa mara ya kwanza alikaribishwa na waislamu(hao mnaowaona duni) na wakamsaidia sana lakini alivyofanikiwa kukipata alichokitamani aliwatupilia mbali wenyeji wake na kujitenga nao na alihakikisha wanakua duni milele isipokuwa wachache ambao walikubali kuwa chawa wake.
Leo mnawadhihaki!
Huyo mtu kama yupo hai adhabu ya kaburi inamsubilia na kama amekufa naomba aongezewe adhabu.
 
Hizi dini za kipumbavu sana.

Yaan hapa mtoa mada katafuta Kibaya cha Uislam (Mwislam) anaona aje awakandie ili moyo wake uwe na amani.

Hapo hapo Mwislam nae atatafuta kitu kwenye ukristo akandie ili nae aone kajibu hoja.

Upumbavu tuu watu wameshikilia wakujiona wao ndo bora kuliko wengineea.
Yaan kila dini ina jiona yenyewe ndo bora zaidi.
 
Nakazia hapa 🔨🔨
Hizi dini za kimbavu sana.

Yaan hapa mtoa mada katafuta Kibaya cha Uislam (Mwislam) anaona aje awakandie ili moyo wake uwe na amani.

Hapo hapo Mwislam nae atatafuta kitu kwenye ukristo akandie ili nae aone kajibu hoja.

Upumbavu tuu watu wameshikilia wakujiona wao ndo bora kuliko wengineea.
Yaan kila dini ina jiona yenyewe ndo bora zaidi.
 
Mkuu vaa halina uhusiano na hao jamaa ,, nendea bar ,nindea gesti ,, hilo vaz vaa popote utakapo.

Usije ukafanya hivyo ukiwa pwani, Tanga, Lindi na Zanzibar. Watasema astakafulilah, takbih takbih. Sijui kama utakuwa salama
 
Back
Top Bottom