nimesha elezea hapo juu.Ulitaka wafanyaje
Ova
Wewe bwege nchi yako CCM wanaiuza kwa waarabu umekaa kimya then unashadadia mambo ya wakenyakinacho endelea kwa jirani zetu wakenya sio maandamano ya amani bali ni vurugu ambazo hadi sasa zimepelekea watu wawili kupoteza maisha na kusababisha uharibifu wa mali.
Wananchi wanayo haki ya kuandamana lakini tunacho kishuhudia kwa jirani zetu ni vurugu tupu ambazo zinapekea kutatiza shughuli za kiuchumi.
Mzee Raila chonde chonde usiingize Kenya kwenye machafuko, tumieni njia za amani kudai haki zenu, vurugu hazisaidii zaidi ya kusababisha mauaji.
Imeuzwa wapi? Weka ushahidi sio unaleta blah blah zako.Wewe bwege nchi yako CCM wanaiuza kwa waarabu...
Wamepoteza maisha kwa kuandamana au wameuliwa???....watumie njia zingine kama vile Bunge n.k, maandamano ya vurugu ni machafuko mkubwa sio njia sahihi, sio njia muafaka kwa sasa.
watu 6 wamepoteza uhai. ni wazi kabisa maandamano sio njia sahihi kwa wakati huu.
kwasababu ya vurugu za maandamano.Wamepoteza maisha kwa kuandamana au wameuliwa???....
mandamano ya kupora mali za watu na kuharibu mali za watu.?! hii si sawa.Maandamano hayaui watu, ,polisi wanaweza kuua watu.
Maandamano sio vurugu mkuu...kwasababu ya vurugu za maandamano.
chanzo ni maandamano.
kiongozi aliye hamasisha maandamano yasiyo na kibali cha polosi ndiye anapaswa kuwajibishwa kwa vifo hivyo.
Kwahiyo walitangaza kupora mali zz watu?mandamano ya kupora mali za watu na kuharibu mali za watu.
Kenya ni jirani zetu ni ndugu zetu, wakifa wakenya lazima tuumie, huo ndio udugu wa kweli sio kushdadia.Wewe bwege nchi yako CCM wanaiuza kwa waarabu umekaa kimya then unashadadia mambo ya wakenya
kama wangeandamana kwa amani bila kufanya vurugu, kuvunja na kuchoma moto barabarani na kurusha mawe na vyuma askari wasinge tumia risasi.Kwahiyo walitangaza kupora mali zz watu?
Kama zipi? Kama wanataka kuandamana kwa amani wanakataliwa!!kama wangeandamana kwa amani bila kufanya vurugu, kuvunja na kuchoma moto barabarani na kurusha mawe na vyuma askari wasinge tumia risasi.
kumbuka panapo kuwa na vurugu lolote laweza tokea.
tuache maandamano ya vurugu, tumieni njia sahihi kudai haki kwa amani na utulivu.
huo ujeuri na ukorofi ndio unawaponza.Kama zipi? Kama wanataka kuandamana kwa amani wanakataliwa!!
Nchi za dunia ya tatu hizi......
Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara haziruhusu maandamano!!!!huo ujeuri na ukorofi ndio unawaponza.
lazima kujifunza kufuata taratibu zilizopo, toa taarifa kwa Polisi mkiambiwa mandamano Mjini Nairobi haiwezekani kwasababu za kiusalama na kiuchumi mnapaswa muelewe na mtii.
Kwahiyo unataka kulinganisha bandari na Maisha ya watu, hivi wewe mzima kichwani mwako Kweli?, Unafurahia kinachoendelea Sudan hivi Sasa?, Ficha aibu yako?Wewe bwege nchi yako CCM wanaiuza kwa waarabu umekaa kimya then unashadadia mambo ya wakenya