Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Afrika ya kusini (RSA) iko wapi?Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara haziruhusu maandamano!!!!…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika ya kusini (RSA) iko wapi?Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara haziruhusu maandamano!!!!…
watumie njia zingine kama vile Bunge n.k, maandamano ya vurugu ni machafuko mkubwa sio njia sahihi, sio njia muafaka kwa sasa.
watu 6 wamepoteza uhai. ni wazi kabisa maandamano sio njia sahihi kwa wakati huu.
Hukohuko...Afrika ya kusini (RSA) iko wapi?
Mbona huko wanaandamana; au unajifanya hujui?Hukohuko...
Samaki mmoja akioza ni wote.
Ivi hujui watanzania ndio wameharibikakinacho endelea kwa jirani zetu wakenya sio maandamano ya amani bali ni vurugu ambazo hadi sasa zimepelekea watu sita kupoteza maisha na kusababisha uharibifu wa mali.
Wananchi wanayo haki ya kuandamana lakini tunacho kishuhudia kwa jirani zetu ni vurugu tupu ambazo zinapekea kutatiza shughuli za kiuchumi.
Mzee Raila chonde chonde usiingize Kenya kwenye machafuko, tumieni njia za amani kudai haki zenu, vurugu hazisaidii zaidi ya kusababisha mauaji.
Ruto, acha kumchokonoa Uhuru, unawajua Wakikuyu??