Sasa wao ndo watazuia samaki kuogelea?TFDA Zzzz!!!!!
Hiyo supu itakuwa si ya kitoto maana itakuwa na Radium sijui Polonium kitu ukinywa kinaanza ku disintegrate na kuanza kutoa half life..
Hiyo inaonesha tuu kama kuna athari au la, lakini haita zuia watu kuvua na si rahisi kufanya doria eneo lenye urefu wa zaidi ya 1000miles.Kuchukua Samples za Samaki na Kupima Mionzi Haswa wa Mikoa ya Tanga na Dar Pengine hata na Visiwani.
Kwa Kawaida Samaki sio Wote wana Uwezo wa kusafiri Umbali Huo ila Nchi Ambayo iko hatarini Sana ni Kenya na Ndio Maana Maana Uzi huu nimeuleta hapa,Hiyo inaonesha tuu kama kuna athari au la, lakini haita zuia watu kuvua na si rahisi kufanya doria eneo lenye urefu wa zaidi ya 1000miles
Ionizing radiation causes cancerKutokana na Bahari ya Jirani Zenu Somalia ya Kusini Kufanywa Dampo la Nuclear waste Samaki wengi wako Radioactive.
Na Bado Serikali hii ya Somalia yenye Laana inahongwa na Makampuni ya Kumwaga Takataka zenye Mionzi hatari
Na kama Mnavyojua Samaki hawana Mipaka
Ni bora Posho yako iende na Sukuma wiki kuliko Samaki wenye macho matatu.
Sina Maana ya Wale wa Lake Victoria na Ma lake zingine,Samaki wa Bahari ya hindi.
View attachment 1042026
Radioactive Fish from Fukushima.
View attachment 1042027
Huyu ni wa kutoka Somalia ni Hatari na Bado wanatoa Leseni za Dumpin Serikali ya Mogadishu.
Imagine your friend replaces JPM, who will stop his friends to do the same in Tanzania! Just being curiousIt's More Likely to Die of Cancer in South Somalia than From Al shababu Bombs.
View attachment 1042169
Waangalie Tembea yao na Afya zao hawa watu hawako Salama kwanza Lead hufanya watu awe kichaa ni Miraa tu ndio inawafanya watembee.