Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hayo yanatokea Somalia hata samaki wetu hawapo salama.
Kutokana na Bahari ya Jirani Zenu Somalia ya Kusini Kufanywa Dampo la Nuclear waste Samaki wengi wako Radioactive.
Na Bado Serikali hii ya Somalia yenye Laana inahongwa na Makampuni ya Kumwaga Takataka zenye Mionzi hatari
Na kama Mnavyojua Samaki hawana Mipaka
Ni bora Posho yako iende na Sukuma wiki kuliko Samaki wenye macho matatu.
Sina Maana ya Wale wa Lake Victoria na Ma lake zingine,Samaki wa Bahari ya hindi.
View attachment 1042026
Radioactive Fish from Fukushima.
View attachment 1042027
Huyu ni wa kutoka Somalia ni Hatari na Bado wanatoa Leseni za Dumpin Serikali ya Mogadishu.
Ni Kweli kitendo cha Meltdown ya Fukushima Baada ya Japanese Tsunami vitu vingi vilifika Pwani ya Magharibi ya USA vikiwa vingine ni RadioactiveHili suala siyo la Mogadishu, Nairobi, EGAD, EAC wala AU, bali ni suala la UN. Madhara yanayotokana na huo ubaradhuri hauta muacha yeyote salama katika dunia hii. Kuwaacha watu waendelee kutupa sumu baharini eneo la Somalia ni janga kwa DUNIA nzima. Siyo Somalia ama egad ama EAC ama Afrika ndizo zitakazo athirika. Nimeongea kwa kurudia rudia ili kuonesha kuwa dunia kwa ujumla wake haita kuwa salama kwa kitendo kinachofanyika katika pwani ya Somalia.
Cc. FaizaFoxy. Hivi ndivyo hali ilivyo kule Puntland na Jubaland, Somaaliya. Mabwana zako alshabaab wanafunga mabarabara na kuwatoza ada wasomali masikini wasio na hatia. Cha kutamausha zaidi ni kwamba huwa wanavamia misafara ya malori ambayo yanaleta misaada ya vyakula na madawa kwa hawa wasomali wenzao ambao wanakufa kwasababu ya njaa kila uchao, kisha wanauza vyakula hivyo na madawa ili wanunue mirungi na silaha. Mtazame vizuri machoni huyo maskini wa Mungu, muislamu mwenzako, ndio ufahamu vizuri laana inayowaandama nyie mazombi.View attachment 1042174
Mtoto anaeumwa kutokana na Ukosefu wa Lishe.
Wengi wetu tulikuwa tunatumia plastic shuleni. Kweli Mungu ndiye atulindaye.Plastic pia husababisha Saratani.
Kwa hivyo nyie ndio mnaomiliki saratani ?? Aisee! Kizazi cha swilaSaratani tunawapa wa Kenya
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Wewe demu one day utajaa tu hakika hutojuta kunipa kipochi manyoa aiseKwa hivyo nyie ndio mnaomiliki saratani ?? Aisee! Kizazi cha swila
Yes, kinayeyusha plastic mdomdo, alafu unaishia kula ma petrofuels.
wapo bize wanapambana kugawana posho za makusanyoTFDA Zzzz!!!!!